Msaada: Nahitaji Dining Table (location - Dodoma)

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,048
21,523
Salam wakuu,
Kama Uzi wangu unavyojieleza hapo juu, nahitaji meza ya chakula (dining table) kwaajili ya nyumbani. Naomba kwa anayefahamu sehemu wanatengeneza meza hizo kwa gharama nafuu kwa hapa mkoani Dodoma aweze kunielekeza ili nikawaone. Budget yangu NI isizidi 1M (meza na viti sita)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom