Young Lunya ana u-GOAT gani?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,523
1709155798595.png

Habari za jioni wakuu,

Let me get straight to the point... Young Lunya ni msanii ambae ni mkali wa mashairi na flows pia. Huwa namfananisha na bwana mdogo mmoja enzi hizo kule states wa kuitwa Soulja Boy Tell 'em. Pamoja na ukali wake na kumkubali, siafiki kabisa kitendo cha yeye kujiita GoaT (Greatest Of All Time).

Twende taratibu, tukienda kwenye mchezo wa ngumi ukimtaja Mike Tyson au Mohamed Ali kwamba ni ma goat watu hawatopinga. Ukienda kwenye mziki wa pop ukiwataja watu kama wacko jacko au Elvis Presley kwamba NI ma goat watu watakubali. Same applies kama Tiger Woods kwenye golf, Bob Marley kwenye reggae, Oliver mtukudzi, Yossou ndor, Mano Debango kwenye traditional African music, Maradona, Pele, Messi kwenye football etc.

Kwa hapa bongo, kwa mziki wa bongo flavour, it's without a doubt, ukimtaja Prince Dully Sykes huyu ni goat haswa. Ili mtu tumuite goat, tunaangalia nini? Tunaangalia consistency ya not less than two decades kwenye game. Dully tangu Enzi za Hi, lady's free, julieta, bongo flava mpaka sasa kiukweli ameweza ku-maintain consistency ya hali ya juu.

Kwa wanamuziki wa kike, ukimtaja Lady Jaydee 'komando' bila kupingwa ni goat.

Kwenye bongo hip-hop ukimtaja Prof Jizze anafaa kua na hadhi ya u-GOAT. Sasa huyu Lunya ambaye two decades ago probably alikua bado anasoma primary anapata wapi ujasiri wa kujiita GoaT? Ame-menteini kwenye game kwa muda gani?

Halafu na hili la kufanya freestyle session mpaka volume ngapi huko, freestyle gani mpaka unaenda location kabisa kushoot video aisee?

Unaikariri vipi freestyle hadi uweze kwenda kuitolea video? Goat I'll be damned, the kid has alot to learn from the true GOATs of the game!
 
Lunya anajiita Goat kama fashion tu, kafanya Goat liwe sehemu ya nickname yake.

Sio tu kwamba hana vigezo vya kuwa Goat katika hip hop kiujumla bali hata kuwa Goat kama muwakilishi bora wa hip hop Kiwalani pia amekosa hiyo sifa.

Ana flows nzuri ila utunzi ni zero, anapayuka sana na kuunga unga vina.

Wasiojua mziki wa Hip Hop wanaweza kumuona jamaa ni bonge la mchanaji lakini kiuhalisia hata kwa Cadgo hafiki.

Lunya angempata mtu wa kumtungia mashairi mazuri nilikuwa namuona mbali kuliko hapa alipo.

Kwasababu ana ufundi wakutulia kwenye beat plus na ile kitu ambacho modern rapper wanapenda kukifanya (swagga)
 
Kuna brother wangu alikua rapper maarufu zamani,Kuna siku kaniita tusikilize nyimbo za lunya ampe sikio dogo kuona Ana kitu ??maana yupo hyped Sana,..Basi Kila mstari bro anashangaa,mtu Ana rap Kama mashairi kaandikiwa na mtoto wa darasa la 7,..bro aliposikia lunya anasema " demu unaempenda ndio atakupikia pilau bichi" haha kasema ZIMA BLUETOOTH anatumalizia betri...
 
Nili mshangaaa alivyo mdiss killer, sema aki andikiwa mistari ata wika
 
Habari za jioni wakuu,

Let me get straight to the point... Young Lunya ni msanii ambae ni mkali wa mashairi na flows pia. Huwa namfananisha na bwana mdogo mmoja enzi hizo kule states wa kuitwa Soulja Boy Tell 'em. Pamoja na ukali wake na kumkubali, siafiki kabisa kitendo cha yeye kujiita GoaT (Greatest Of All Time).

Twende taratibu, tukienda kwenye mchezo wa ngumi ukimtaja Mike Tyson au Mohamed Ali kwamba ni ma goat watu hawatopinga. Ukienda kwenye mziki wa pop ukiwataja watu kama wacko jacko au Elvis Presley kwamba NI ma goat watu watakubali. Same applies kama Tiger Woods kwenye golf, Bob Marley kwenye reggae, Oliver mtukudzi, Yossou ndor, Mano Debango kwenye traditional African music, Maradona, Pele, Messi kwenye football etc.

Kwa hapa bongo, kwa mziki wa bongo flavour, it's without a doubt, ukimtaja Prince Dully Sykes huyu ni goat haswa. Ili mtu tumuite goat, tunaangalia nini? Tunaangalia consistency ya not less than two decades kwenye game. Dully tangu Enzi za Hi, lady's free, julieta, bongo flava mpaka sasa kiukweli ameweza ku-maintain consistency ya hali ya juu.

Kwa wanamuziki wa kike, ukimtaja Lady Jaydee 'komando' bila kupingwa ni goat.

Kwenye bongo hip-hop ukimtaja Prof Jizze anafaa kua na hadhi ya u-GOAT. Sasa huyu Lunya ambaye two decades ago probably alikua bado anasoma primary anapata wapi ujasiri wa kujiita GoaT? Ame-menteini kwenye game kwa muda gani?

Halafu na hili la kufanya freestyle session mpaka volume ngapi huko, freestyle gani mpaka unaenda location kabisa kushoot video aisee?

Unaikariri vipi freestyle hadi uweze kwenda kuitolea video? Goat I'll be damned, the kid has alot to learn from the true GOATs of the game!
Amefanana na Mbuzi ,ni Goat
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom