Msaada: Naomba kuunganisha na mtu anayesafirisha wanyama

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,523
Habari wakuu,

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, ninahitaji msaada wa kupata connection ya mtu au kampuni ambayo wanahusika na kusafirisha wanyama.

Nina mbwa wangu mdogo GSD ninahitaji kumsafirisha kutoka Dar kumpeleka Dodoma ila changamoto ni usafiri.

Naomba msaada ndugu zangu au hata kwa mtu anayefahamu yoyote mwenye private car ambaye hua anapiga route za Dar - Dom aweze kuniunganisha.

Asante
 
Jaribu magari ya mizigo jangwani, sidhani kama watakataa, muhimu tengeneza wooden cage na chakula cha masaa kadhaa.
 
Jaribu magari ya mizigo jangwani, sidhani kama watakataa, muhimu tengeneza wooden cage na chakula cha masaa kadhaa.
Chakula Cha Nini,mbwa mzuri huwa anakula mlo mmoja tu ,usiku anavyofunguliwa,kwa hiyo apo safari ya Dom Kama akitoka asubuhi ,sidhani Kama Kuna haha sana ya chakula
 
Chakula Cha Nini,mbwa mzuri huwa anakula mlo mmoja tu ,usiku anavyofunguliwa,kwa hiyo apo safari ya Dom Kama akitoka asubuhi ,sidhani Kama Kuna haha sana ya chakula
Ratiba za fuso hazieleweki, unaweza peleka mzigo asubuhi ukasafirishwa usiku.

Wewe mbona unanunua mahindi ya kuchoma, mayai, maandazi njiani ukiwa unasafiri acha umbwa afaidi 😂😂
 
Km kadogo mbona simple tu hata kwenye kabox kaweke ongea na konda vzr hakuna mkate mgumu mbele ya tea bongo hapa
 
Back
Top Bottom