Msaada: Fence Designs.....!!!

Msaada: Fence Designs.....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,138
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ninaomba kwa wataalam wa ujenzi mtu aweze nisaidia michoro ya design mbalimbali za fence for residential area. Nimejaribu kuangalia Pinterest lakini naona nyingi kiuhalisia wa hapa kwetu bongo sio suitable kabisa . Asante, naomba kuwasilisha!
 
Back
Top Bottom