Naomba msaada jinsi naweza nikatumia dish moja(azam) kwa ving'amuzi viwili tofauti

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,042
21,517
Za jioni wakuu,

Naomba msaada jinsi naweza nikatumia dish moja(azam) kwa ving'amuzi viwili tofauti. Yaan bedroom TV pia niweze kupata huduma ya azam TV kwa king'amuzi chake separate ila nitumie dish moja ninalotumia sitting room.

Asanteni
 
Kuna lb zinazoruhusu hadi nyaya tatu. Nlikuwa nayo ya dstv nadhani hata azam watakuwa nayo. Ila pia kuna kifaa fula waya unaotoka kwenye dish unaingia pale halafu upande mwingne zinachomoka nyaya 2 zinaenda kwenyw ving'amuzi tofaut
 
Za jioni wakuu,

Naomba msaada jinsi naweza nikatumia dish moja(azam) kwa ving'amuzi viwili tofauti. Yaan bedroom TV pia niweze kupata huduma ya azam TV kwa king'amuzi chake separate ila nitumie dish moja ninalotumia sitting room.

Asanteni
Hiyo inawezekana kwa kufanya ya kwa kupata LNB yenye matundu mawili ya kufungia nyanya au unatafuta multpapas plag inayofungwa kwenye lnb moja hapo kazi inakuwa imeisha.
 
Za jioni wakuu,

Naomba msaada jinsi naweza nikatumia dish moja(azam) kwa ving'amuzi viwili tofauti. Yaan bedroom TV pia niweze kupata huduma ya azam TV kwa king'amuzi chake separate ila nitumie dish moja ninalotumia sitting room.

Asanteni
Ulifanikiwa bro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom