donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
Habari wakuu l,
Kama kichwa kinavyosema hapo juu. Miaka mitatu iliyopita siku moja nikiwa naangalia TV sebuleni nilijikuta Nina blurred vision, kwenda kuchek zahanati nikakutwa Nina sukari.
Nilipewa dawa za kutumia hospital lakini kuna dawa za asili nilitumia mwishowe tatizo likatoweka halikunitokea tena na uzuri nikanunua mashine ya kupika glucose nyumbani nikawa nachek mara kwa mara. Sasa juzi niliona Dalili za kukojoa mara kwa mara, na vision inakua blurred.
From experience naona NI sugar level Itakua imepanda na bahati mbaya nilikua nimekuja kwenye msiba wa mama yangu mzazi so mashine nimeicha nyumbani. Hivyo naomba wakuu kwenye wazoefu au maarifa ya hii changamoto, wanisaidie ni jinsi gani ninaweza kuirudisha normal levels nikiwa nyumbani kabla ya kwenda zahanati.
Asanteni