Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Swali Kwa Katambi. Waliorejedhwa kazini ni Standard 7 au Waliofoji vyeti? ========= Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobasi katambi amezungumza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Daima sijawahi kuwa chawa wa mtu yeyote, na wengi wanalijua hilo. Lakini kuna mambo ambayo Rais Samia anayafanya, anayaagiza na anayatamka, yanakufanya mtu ufikirie zaidi ya mara 2. Leo linaweza...
14 Reactions
49 Replies
4K Views
Tanzania kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba, ameahidi kutatua na kusuluhisha mzozo wa Kenya na Tanzania Airways. Kupitia chapisho kwenye X, January alifichua kuwa alizungumza na...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Binafsi ninaona Majimbo ya uchaguzi ni mengi mno hivyo ninaishauri Serikali kupunguza majimbo ya uchaguzi kwa ushauri ufuatao: Jumla ya Halmashauri zote katika nchi hii ni 184 basi kwa mantiki...
0 Reactions
2 Replies
491 Views
Sisi wana umoja wa usafi Dar es Salaam naomba tuweke wazi Inasemekana kuna chama kilipanga maandamano kwa bahati mbaya ikagongana na siku ya usafi tunaomba tuwajulishe hata wakihairisha sisi...
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba na katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa ameendelea kuwa mfano wa kuigwa na kuwa kiongozi anayeteka hisia za watu wengi sana...
7 Reactions
92 Replies
13K Views
https://www.youtube.com/watch?v=zEW8KhIHLF0 Chanzo: Simulizi Na Sauti
-1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari. Kutokana na yanayoendelea nchini kwetu. Kuanzia Tanesco, Dawasco. Masuala ya ajira. Rushwa zisizoeleweka. Upotevu wa fedha na Tozo zisizo na kichaa. Inamuhitaji mtanzania asiye na...
3 Reactions
8 Replies
492 Views
Ninachojua na kukiamini katika maisha ya kila mmoja, ni kule kupambana saana ili mtu uweze kurahisisha maisha, na kwa sababu hiyo ili uwe na uhakika wa kufanya mambo mengine mhimu ya maendeleo...
0 Reactions
2 Replies
582 Views
Ukweli usemwe Mwalimu Julias Kambarage Nyerere aliwahi kusema kuwa katika uongozi wake yapo mambo mazuri alifanya na pia yapo ya kipuuzi ambayo alifanya. Akaendelea kusema anashangaa wanaomfuatia...
14 Reactions
84 Replies
4K Views
Katibu mkuu wa CCM katika hotuba yake ya kwanza pamoja na mengi aliyosema amesema huko Marekani vyama vya Republicans na Democrats huwa vinawapitisha Marais bila kuwashindanisha katika kura za...
28 Reactions
49 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwapeni taarifa ya kuwa. Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ndiye Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama...
0 Reactions
5 Replies
893 Views
SIASA NI KAMA BIASHARA UKISHAJENGA NGOME YA WATEJA WAKO KUDONDOKA NI KAZI NGUMU SANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu kinahitaji misingi na mizizi ili kiweze kudumu kwa muda mrefu...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili...
23 Reactions
128 Replies
27K Views
Huwa najiuliza sana lakini sipati majawabu, lakini naomba wasomi wa humu ndani mnisaidie. Hivi Mzee Nyerere alikuwa ana roho ya namna gani kuona mambo kama haya yakitokea kwa wananchi lakini bado...
59 Reactions
437 Replies
26K Views
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wametakiwa kuchagua Viongozi bora wenye weledi wa kusimamia maslahi ya Wafanyakazi na wanaoweza kuendesha Baraza kwa tija...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Upele umepata mkunaji. Hakika kwa sasa diplomasia ya Tanzania iko imara, hakuna mtu atatuchezea abaki salama. Hii yote kazi ya nani? Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba. Tulitaka kuchezewa na...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Fanya shughuli mapema na kwa haraka sana huku macho na masikio yako yakitegwa na kuelekezwa visiwani Zanzibar ambako Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri...
1 Reactions
58 Replies
4K Views
''Msimamo wetu bado ni huo, kutokana na mazingira tuliyopitia mwaka 2019 na mwaka 2020 yalitudhihirishia wazi kwamba hatutashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu (2024) kutokana na yale...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Ukimsikiliza Ndugai wa leo sio yule wa miezi miwli nyuma kipindi Mama Samia anashika madaraka, huyu wa sasa amerejea kwenye jeuri na kejeri zilezile za utawala wa Magufuli, Anauhakika na...
42 Reactions
122 Replies
11K Views
Back
Top Bottom