Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kadi ya chama cha siasa, ni nyaraka anayopewa mtu aliyejiunga na chama fulani cha siasa kuthibisha kuwa yeye ni mwanachama halali au hai wa chama hicho. Wapo watu wengi wamekuwa hawatambui kazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimaye CHADEMA imeamua kukata mzizi wa fitina kwa kuanika hadharani kila neno lililomo kwenye Nyaraka za Maridhiano yaliyovunjika baada ya CCM kuweka mpira Kwapani. Kauli hiyo Thabiti imetolewa...
23 Reactions
52 Replies
4K Views
Makamu mwenyekiti amesema Majina mengi yalitajwa kwa Nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM na kwa kweli wengi walikuwa na Sifa. Lakini Dkt. Nchimbi ana Sifa zinazokidhi Vigezo vya wakati tulionao. Dkt...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Ukifuatilia Historia za vyama vikuu vya upinzani Tanzania vingi huwa vinaibuka na kupotea kama mvua za msimu, havidumu. Vyama vikubwa vingi vya upinzani Tanzania viliundwa mwaka 1992. NCCR...
1 Reactions
4 Replies
666 Views
Nimekaa na kutafakari na hadi muda huu sijapata jibu sahihi. Baada tu ya mwenyekiti wa CHADEMA kutangaza maandamano th 24/01/2024, Ni kiongozi wa ngazi ya mkoa (mkuu wa mkoa) anaamuru vikosi vya...
1 Reactions
1 Replies
462 Views
Sitaki salamu nimevurugwa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Nchi hii ina maamuzi ya ovyo na ya kipumbavu sana. Kila kitu kinafanyika ovyo ovyo! Ni juzi tu serikali imeuza nchi kwa warabu wa DP...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Ukiachana na Ndege, kuna tatizo kule Masaia Mara, hilo liliwahi kuibuliwa na mzungu mmoja anaishi Arusha. Kule Masai Mara hawarusu gari zenye usajiri wa Tanzania kuingia hifadhini, na badala yake...
14 Reactions
48 Replies
20K Views
CHADEMA wametangaza kufanya Maandamano ya amani mnamo tarehe 24.01.2024 jijini Dar es salaam. Wakati huo RC wa Dar es salaam inasemekana naye ameamru vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama...
1 Reactions
3 Replies
528 Views
Wajumbe mko aje? Niko jukwaani nikitema cheche kuhoji uhalali wa mgao wa umeme ilhali mvua ni nyingi zinazonyesha huku zikileta madhara kwa baadhi ya maeneo. Kwa ukubwa wa mvua zinazoendelea...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Nchi hii ya Tanzania baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 chini ya mwendazake majimbo yote yalikua chini ya CCM likiwemo hili la Nyamagana chini ya uongozi wa Stanslaus Mabula. Huyu mbunge sijui kama...
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Kama ulikua hujui kuwa TANZANIA SIO NCHI MASIKINI ILA WATU WAKE NDIO MASIKINI wacha nikufahamishe;- WATU wengi huamini kuwa Tanzania ni nchi MASIKINI, Lakini sio kweli Tanzania sio nchi MASIKINI...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
CHADEMA KUSHIRIKIANA NA JESHI KUFANYA USAFI ILI JAN 24 WAANDAMANE SEHEMU SAFI "Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeona kauli za baadhi ya ma Rais wa nchi za jumuiya ya Afrika mashariki akiwepo Rais wa kenya Mheshimiwa William Ruto,wakipendekeza na kutaka kuondoa kabisa habari za...
9 Reactions
112 Replies
25K Views
Rais Samia Suluhu Hassan, alipoingia madarakani kwenye hotuba yake ya kwanza, kwenye maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi(MEI MOSI), aliahidi kwamba atahakikisha mshahara tu ndiyo utakaokatwa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanajamvi sijui kama na nyie mnaona au ni mimi tu,nimekuwa nikifuatilia kwa muda sasa naona Wabunge wanagawa sana Majiko ya Gesi majimboni mwao. Ninachojiuliza ni kwamba wanaigana au...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
https://youtu.be/yFvVK6fw03U?si=dn8VnqOvAMFz2yNo Miswaada hiyo ni 1. Tume huru ya Uchaguzi. 2. Sheria ya Vyama vya siasa 3. Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Mi Siongezi wala kupunguza...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Let us be serious hata kidogo na maisha ya hawa watoto wetu; tujaribu kufanya yale tungependa kufanyiwa. Gharama za matibabu nchini ni kubwa sana, tuwaonee huruma hawa wasiojitambua. Kama boda...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA na mbunge wa zamani Mheshimiwa John Heche amesema wao wapo tayari kufanya mdahalo na CCM, kwa kuwa ni CCM yenye majibu ya maswali na mambo...
5 Reactions
60 Replies
4K Views
Kumekua na watu wengi wanaoamini Walimu ndo wahusika wakuu wanaoisaidia CCM na dola kuiba kula wakati ya uchaguzi. Ilihali ukweli upo wazi kabisa,mwl ni msimamiz tu wa kituo ambapo Kuna ma wakala...
1 Reactions
8 Replies
642 Views
Nimestuka sana nilipoisikia kauli aliyotoa mkuu wetu wa mkoa wa Dar tena kanisani, kuwa tarehe 24, "anawaagiza" askari Polisi 5,000 na askari wa JWTZ 8,000 wajitokeze mitaani Dar, ili wafanye...
13 Reactions
80 Replies
21K Views
Back
Top Bottom