Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NIMEEJIULIZA swali Nape na Mwigulu ni Wajumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kikao kilichompitisha Nchimbi kuwa Katibu Mkuu, Swali je kwanini Nape na Nchimbi walijitokeza tena kwenye...
0 Reactions
1 Replies
627 Views
Salaam, Shalom!! Ndugu Chalamila, uliwahi Kutoa kauli kuhusu kuhamasisha maandamano na kuandika mabango Ukiwa RC Mwanza. Ulisema, ni Ruksa kubeba mabango yenye jumbe mbalimbali. Ni muhimu...
3 Reactions
3 Replies
540 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa masomo 2023/2024 Serikali imetenga Tsh. bilioni 48 kwa ajili ya kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa ngazi ya stashahada. Amesema hayo leo Jumanne...
0 Reactions
5 Replies
791 Views
Wanao fund al shabab ni Saudi Arabia, anaye bomb kuuwa na kutesa watu wasio na hatia Yemeni ambao > 98% ni Waislamu ni Saudi Arabia, Somalia na Yemeni wana one thing in common, mafuta, oil rich...
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Baada ya tamko la Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kuitisha maandamano ya amani tarehe 24 Januari, 2024 Jijini Dar Es salaam...
10 Reactions
66 Replies
39K Views
Nimemsikia Bw Makonda akidai Ameyakataa MASHARTI yaliyotolewa na CHADEMA yatakayotumika katika MDAHALO na kudai Eti CHADEMA wamekimbia. Najiuliza: Je, ni nani kati ya Bw. MAKONDA na CHADEMA...
1 Reactions
7 Replies
718 Views
Ukiacha na huu upuuzi wa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam wa kuwataka wanajeshi wafanye usafi mitaani ili kukabiliana na maandamano ya CHADEMA jambo litakalo wapa credit CHADEMA nje na ndani ya nchi...
1 Reactions
0 Replies
449 Views
Mbunge wa Monduli Fred Lowassa amemshukuru Askofu Mkuu mteule wa KKKT, Dkt. Alex Malasusa kwa namna anavyowatunza kiimani na wanamwombea Baraka tele katika majukumu yake mapya. Askofu Malasusa ni...
5 Reactions
37 Replies
23K Views
Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Nchimbi amesema yeye anapenda kuongea na Kuwasikiliza Watu wenye akili Nchimbi amesema hayo wakati akielezea jinsi Mwanasayansi nguli Dr Bilal alivyomfata Ili amuunge...
9 Reactions
84 Replies
22K Views
Hata kama wamemkabidhi akili Mbowe bado hawa jamaa ni ndugu zetu kwahiyo tunapaswa kuwashauri na kuwatia moyo kwenye wakati huu mgumu wanaopitia. Kiukweli kisiasa chama kikuu cha utoaji taarifa...
0 Reactions
2 Replies
613 Views
Habari ndugu na marafiki, Ingawa ofisi ya chama physically haikuwa tatizo kwetu, tulitaka kwanza kupanda mbegu ya itikadi ya chama mioyoni mwa watanzania na tumefanikiwa vizuri sana. Torati ya...
12 Reactions
20 Replies
1K Views
Serikali inajaribu kukuza mambo ambayo yanatakiwa kuwa utamaduni wa kawaida. Maandamano ni sehemu ya demokrasia na maandamano sio fujo ni haki ya kujieleze. Badala ya kujaza Polisi wa wanajeshi...
1 Reactions
2 Replies
411 Views
Hili ni moja la wazo la kipuuzi kupata kulisikia toka kwa kiongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo. "Aina za Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna aina kadhaa za Wabunge kwa...
2 Reactions
51 Replies
2K Views
Leo Makonda ameita vyombo vya habari, ameeleza mengi kuhusu kauli ya Mbowe kuhusu kujiondoa kwenye maridhiano. Amedai Mbowe ni mnufaika wa maridhiano na kwamba kama siyo maridhiano angekuwa yupo...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Mimi nikiwa namba moja wa kujitolea kufanya kampeni hizo za kiinjilisiti, ambapo zitakuwa za nyumba hadi nyumba, mtu hadi mtu Kampeni aina hiii huvuna wanachama kwa wingi, na uhakika wa kuwafikia...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
Salaam , Shalom! Dr. Slaa amesema kuwa amefanikiwa kupata picha ya Police kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi. Ikumbukwe pia, usiku wa kuamkia leo, Police walivamia Nyumba ya Askofu Mwamakula...
25 Reactions
166 Replies
13K Views
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA BARAZA LA IDD ADH-HA, ALKHAMISI TAREHE 29.06.2023 -1444. “HAKI NA UKWELI VITHAMINIWE” FALSAFA YA IBADA YA HIJJA Awali ya yote tunamshukuru...
20 Reactions
129 Replies
16K Views
Nchimbi atakuwa kiboko ya machawa na wanaccm kama akina NAPE na Makamba pamoja na kinana maana hao ni ndumilakuwili hawana msimamo wakengeefu na wenye kugeuka geuka
1 Reactions
4 Replies
917 Views
Jeshi la Polisi wilaya ya Kibiti limemkamata Rashid Mkinga (36) kwa tuhuma za kutengeneza Vyeti feki vya kuzaliwa. Tukio hilo lililotokea Januari 15, 2024 majira ya saa 1 usiku katika Kitongoji...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zinaonyesha Tanzania tunapeleka wanajeshi Congo kwa mwamvuli wa SADC. Na kama tujuavyo wanajeshi watanzania pekee ndio huwa kwenye wakati mgumu kwani hupangiwa sehemu korofi hasa njia za...
8 Reactions
109 Replies
6K Views
Back
Top Bottom