Kenya na Tanzania kusuluhisha Mzozo wa Safari za Ndege ndani ya Siku 3

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,280
Tanzania kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba, ameahidi kutatua na kusuluhisha mzozo wa Kenya na Tanzania Airways.

Kupitia chapisho kwenye X, January alifichua kuwa alizungumza na waziri mkuu wa Kenya, Musalia Mudavadi, na kuahidi kusuluhisha suala hilo ndani ya siku 3 kulingana na makubaliano yaliyopo.

Pia Soma:
- Tanzania yazuia ndege za shirika la ndege la Kenya kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

IMG_20240115_210452_095.jpg
 
View attachment 2872849
Makamba aache kujipendekeza na kutaka kujitafutia umaarufu! Alikuwa wapi walipofungia ndege yetu?
Atulie kwanza hawa nguchiro wakione cha moto asijidai anataka ushujaa wa kutatua mgogoro…
 
Wala hakuna suluhu hapo. Wakenya hawapendi kabisa kuona shirika la ndege la Tanzania linafanikiwa. Kwa wale wanapanda ndege za atcl kwenda Kenya wataungana nami vile wakenya wanalihujumu shirika letu pale jomo Kenyatta international airport. Abiria unatembezwa mpaka basi kwa kubadilishiwa waiting area.
 
Back
Top Bottom