January Makamba ameonyesha uthabiti kusimamia maslahi ya Tanzania nje ya nchi, mfano mzuri ni suala la ATCL kuzuiwa biashara Kenya

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,662
Upele umepata mkunaji. Hakika kwa sasa diplomasia ya Tanzania iko imara, hakuna mtu atatuchezea abaki salama.

Hii yote kazi ya nani? Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba. Tulitaka kuchezewa na wakenya kwa kujifanya wao bora sana na kuwekea vikwazo biashara ya ATCL halafu wao wanataka wapepee juu ya anga letu kama wanavyotaka.

Malawi walipiga ban mahindi yetu, wamekutana na jambo lao.

Hakika Tanzania hatuishi kinyonge.

Kongole January Makamba, Tanzania imara chini ya Samia.

==
Pia soma: Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Alichosema January Makamba: Kenya na Tanzania kusuluhisha Mzozo wa Safari za Ndege ndani ya Siku 3
 
Ngoja waje maana January naye kutwa kubebeshwa lawama

Ova
 
Liji CHAWA kazini
 
Chawa bhana!

Hizi drama za majirani hazijaanza leo na mara zote tumekuwa tukipiga mshono hivi!

Upele umepata mkunaji. Hakika kwa sasa diplomasia ya Tanzania iko imara, hakuna mtu atatuchezea abaki salama.

Hii yote kazi ya nani? Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba. Tulitaka kuchezewa na wakenya kwa kujifanya wao bora sana na kuwekea vikwazo biashara ya ATCL halafu wao wanataka wapepee juu ya anga letu kama wanavyotaka.

Malawi walipiga ban mahindi yetu, wamekutana na jambo lao.

Hakika Tanzania hatuishi kinyonge.

Kongole January Makamba, Tanzania imara chini ya Samia.

==
Pia soma: Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Alichosema January Makamba: Kenya na Tanzania kusuluhisha Mzozo wa Safari za Ndege ndani ya Siku 3
Kwani siku hizi Makamba ni waziri wa miundo mbinu, uchukuzi au biashara?

Suala la ATCL na Kenya airways halina uhusiano wowote wa moja kwa moja na wizara ya mambo ya nchi za nje, Makamba anawajibika katika diplomasia ili kujenga au kuvunja daraja la mahusiano baina ya Kenya na Tanzania katika hili sakata.
 
Tatizo lolote linalotolewa suluhusho kwa haraka na serikali ya CCM ujue halikuwa tatizo bali mkakati uliotengenezwa.

Linapokuja suala la January Makamba usistaajabu ukasikia mbeleni kuwa Kenya watafanya wanavyotaka bila mtu kupinga chochote. Makamba ni dalali, sehemu yeyote yenye 10% uwaraza unafuka moshi wa furaha.
 
haha aisee hawa jamaa kwa dramaa nomaa mazee.....piga alafu , eka siku tatu za mazungumzoo!😀
 
Kwani siku hizi Makamba ni waziri wa miundo mbinu, uchukuzi au biashara?

Suala la ATCL na Kenya airways halina uhusiano wowote wa moja kwa moja na wizara ya mambo ya nchi za nje, Makamba anawajibika katika diplomasia ili kujenga au kuvunja daraja la mahusiano baina ya Kenya na Tanzania katika hili sakata.
Tumia akili kidogo japo huna
 
Upele umepata mkunaji. Hakika kwa sasa diplomasia ya Tanzania iko imara, hakuna mtu atatuchezea abaki salama.

Hii yote kazi ya nani? Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba. Tulitaka kuchezewa na wakenya kwa kujifanya wao bora sana na kuwekea vikwazo biashara ya ATCL halafu wao wanataka wapepee juu ya anga letu kama wanavyotaka.

Malawi walipiga ban mahindi yetu, wamekutana na jambo lao.

Hakika Tanzania hatuishi kinyonge.

Kongole January Makamba, Tanzania imara chini ya Samia.

==
Pia soma: Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Alichosema January Makamba: Kenya na Tanzania kusuluhisha Mzozo wa Safari za Ndege ndani ya Siku 3
Kawa waziri wa uchukuzi lini?
 
Aliingia akaikuta Tanesco iko angalau inatupatia Umeme bila taabu sana lkn yeye akavuruga mifumo makusudi ili apate kianzio cha kupiga mpunga.
 
Back
Top Bottom