Rais Samia Kuitetemesha Zanzibar kwa ziara ya siku mbili kichama mikoa minne ya unguja Tarehe 17-18 januari

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,300
9,727
Ndugu zangu Watanzania,

Napenda kuwapeni taarifa ya kuwa. Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ndiye Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Mheshimiwa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nuru ya wanyonge na nyota ya matumaini atafanya ziara ya kichama kwa muda wa siku mbili katika mikoa minne ya unguja Tarehe 17-18 januari 2024 .

Kazi ndio kwanza imeanzaaa baada ya kumpata katibu mkuu wetu Mh Balozi Dr Emmanueli Nchimbi.ni kazi juu ya kazi .Rais wetu hapumziki wala hapoi ni mwendo wa kuchapa kazi muda wote na kuwasikiliza wananchi wakati vyama vingine dhaifu na vilivyopoteza dira kama CHADEMA vikiendelea kupuyanga tu kama gari lililokatika breki mteremkoni.

CCM Ndio maana muda wote ipo katika mioyo na vifua vya watanzania ,kwa kuwa muda wote ipo karibu nao ikiwasikiliza kero na changamoto zao na kuwapatia majibu kwa wakati.hii ndio maana ya chama cha siasa kilichoamua kuwa daktari wa kero za wananchi kwa kuwapatia furaha na amani ya mioyo yao.

Ni ngumu sana kwa mtanzania kukinyima kura ya ndio chama kama CCM wakati kila mtu anaona juhudi zake katika kuwahudumia watu.

Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Atatetemesha chizi kama wewe. Shetani wewe. mungu chukua hili lishetani haraka
 
Back
Top Bottom