Siasa ni kama biashara, ukishajenga ngome ya Wateja wako kudondoka ni kazi ngumu sana

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,341
51,904
SIASA NI KAMA BIASHARA UKISHAJENGA NGOME YA WATEJA WAKO KUDONDOKA NI KAZI NGUMU SANA.

Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli

Kila kitu kinahitaji misingi na mizizi ili kiweze kudumu kwa muda mrefu.
Katika Sanaa kuna Fans Base. Msanii anapoanza safari yake ya muziki lazima ahakikishe anatoa kazi nzuri mno zitakazomfanya apate Wafuasi wake. Wafuasi hawa ndio watakaomfanya atambe, apate pesa za show pamoja na wanunuaji wa kazi zake. Ili adumu lazima awafanye Wafuasi hao wampende na kuwa na imani naye.

Kibiashara, sisi wafanyabishara tunajua kabisa kipindi kigumu katika biashara ni kile cha kutengeneza wateja. Yaani kufanya Watu waamini katika huduma na bidhaa zako. Hiki ndio kipindi kigumu lakini muhimû kwani huu ndio msingi wa biashara. Hii itakufanya ujitahidi mno kutoa huduma bora na kwa uaminifu wa hali ya juu kwa wateja wako.

Unaweza ukawa na mtaji Mkubwa lakini kibiashara ukashindwa na Watu wenye mitaji ya kawaida kwa sababu ya kuwa huna msingi wala mizizi katika biashara unayoianzisha.

Katika Dini, ni ngumu sana kumbadilisha mtu imani yake. Yaani mtu ni muislamu safi aje kuwa Mkristo. Au mtu ni Mkristo safi aje kuwa muislamu. Ni kazi sana.

Dini zote mbili zilitumia jasho na damu katika kupata wateja(waumini wake). Mbinu zote zilizohitajika zilifanyika. Na sasa matunda ya kazi ile yanaonekana.

Huwezi kuja na vi- Idea vyako hapo ati kuwafanya Watu wasiamini katika dini. Elewa wao ni wateja, tayari wapo addicted yaani wamelevya. Dini inaweza kuwa inavitu fulani vibaya lakini mteja(muumini) akavitetea au akaona sio vibaya.

Kisiasa, vyama vyote vikuu unavyoviona duniani havikuwa vikubwa kwa usiku mmoja. Vilianza kimagumashi, kidogokidogo vikikumbwa na shinikizo kubwa aidha la kimazingira au chama kikubwa kilichopo.

Hapa nchini, CCM ni chama chenye Wateja wengi mno. Sio kazi rahisi kuangusha chama hicho.
Kadiri mzizi ulivyojichimbia ndivyo unavyojenga uimara wa chama kudumu kwa muda mrefu zaidi.

Ni hakika chama hakiwezi kudumu milele lakini haimaanishi kuwa hakinauwezo wa kuishi muda mrefu. Hata hivyo zipo njia kadhaa za kuzifanya ili chama kiishi maisha marefu sawa na umilele.

Kama vile kujitengeneza mgogoro bandia kisha kukipasua chama mapande mawili kisha kipande kila kipande kilichogawanyika kijitafute jina jingine lakini kimsingi chama kitakuwa kilekile.

Au njia ya pili, ni ile iliyotumiwa ni ile ya kuunganisha vyama vile kama TANU NA ASP na kuzaliwa CCM ambapo ukiangalia wengine wataona kilizaliwa chama kipya lakini chama ni kilekile. Kilichofanyika ni biashara tuu.

Huwezi tumia Wafuasi wa Diamondi kumponda Diamonds ili wamkubali Ali Kiba. muislamu hawezi kutukana Ukristo mbele ya Wakristo ili Wakristo waukubali uislamu. Hiyo haiwezekaniki.

Chadema na vyama vya upinzani, wanautukana Uccm na wakati mwingine hutukana wanaccm alafu muda huohuo wanaomba Wanaccm wahamie Chadema. Uliona wapi mambo kama hayo?

Huwezi uponda Ulevi mbele ya Mlevi ati ili abadilike asiwe Mlevi. Uliona wapi hiyo.

Nawatakia siku Njema

Robert Heriel
Taikon WA Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Hii iliyokuwepo ilipatikanaje?
Au nayo waliombwa watawala?

..hii ya 1977 waliandika watawala / Ccm.

..kuna nyingine imeandikwa 2014 iliyotokana na bunge maalum.

..Mama Samia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge maalum.

..Ccm wameificha katiba ile. Na Mama Samia anapiga danadana na vikosi kazi.

..Nilichogundua Mama ni laghai.
 
Huwezi kuja na vi- Idea vyako hapo ati kuwafanya Watu wasiamini katika dini. Elewa wao ni wateja, tayari wapo addicted yaani wamelevya.
Dini inaweza kuwa inavitu fulani vibaya lakini mteja(muumini) akavitetea au akaona sio vibaya.

Kisiasa, vyama vyote vikuu unavyoviona duniani havikuwa vikubwa kwa usiku mmoja. Vilianza kimagumashi, kidogokidogo vikikumbwa na shinikizo kubwa aidha la kimazingira au chama kikubwa kilichopo.

Hapa nchini, CCM ni chama chenye Wateja wengi mno. Sio kazi rahisi kuangusha chama hicho.
Kadiri mzizi ulivyojichimbia ndivyo unavyojenga uimara wa chama kudumu kwa muda mrefu zaidi.

Ni hakika chama hakiwezi kudumu milele lakini haimaanishi kuwa hakinauwezo wa kuishi muda mrefu. Hata hivyo zipo njia kadhaa za kuzifanya ili chama kiishi maisha marefu sawa na umilele.
Kama vile kujitengeneza mgogoro bandia kisha kukipasua chama mapande mawili kisha kipande kila kipande kilichogawanyika kijitafute jina jingine lakini kimsingi chama kitakuwa kilekile.

Au njia ya pili, ni ile iliyotumiwa ni ile ya kuunganisha vyama vile kama TANU NA ASP na kuzaliwa CCM ambapo ukiangalia wengine wataona kilizaliwa chama kipya lakini chama ni kilekile. Kilichofanyika ni biashara tuu.

Huwezi tumia Wafuasi wa Diamondi kumponda Diamonds ili wamkubali Ali Kiba. muislamu hawezi kutukana Ukristo mbele ya Wakristo ili Wakristo waukubali uislamu. Hiyo haiwezekaniki.

Chadema na vyama vya upinzani, wanautukana Uccm na wakati mwingine hutukana wanaccm alafu muda huohuo wanaomba Wanaccm wahamie Chadema. Uliona wapi mambo kama hayo?

Huwezi uponda Ulevi mbele ya Mlevi ati ili abadilike asiwe Mlevi. Uliona wapi hiyo.

Nawatakia siku Njema

Robert Heriel
Taikon WA Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Sasa kwanini Abracadabra nyingi kuhusu tume huru kabisa ya kusimamia uchaguzi ?
Unadhani mwanachama kwa mfano wa Ccm au Chadema hawezi kukipigia chama kingine hata kama ameshapata madhila mengi kutoka Chamani kwake ??!
Hata Nyerere alisemaga Ccm sio mama yangu !!
 
..hii ya 1977 waliandika watawala / Ccm.

..kuna nyingine imeandikwa 2014 iliyotokana na bunge maalum.

..Mama Samia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge maalum.

..Ccm wameificha katiba ile. Na Mama Samia anapiga danadana na vikosi kazi.

..Nilichogundua Mama ni laghai.
Sio yeye tu Bali yeyote atakaye kuja atafanya hizo unazoziita danadana hivyo hivyo ili muda uende aje mwingine !!
That’s how it is !
Nani anaweza kuukata mkono wake unaomlisha ??!!
Bora Nchi urudi kwenye Chama kimoja tubanane humo humo kama zamani !
Na gharama za Uchaguzi zitapungua 🙏🙏😅🇹🇿
 
..hii ya 1977 waliandika watawala / Ccm.

..kuna nyingine imeandikwa 2014 iliyotokana na bunge maalum.

..Mama Samia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge maalum.

..Ccm wameificha katiba ile. Na Mama Samia anapiga danadana na vikosi kazi.

..Nilichogundua Mama ni laghai.

Sio kama waliirithi hiyo katiba kwa mwingine ila walifanya amendments baadhi ya Masuala?
 
Sasa kwanini Abracadabra nyingi kuhusu tume huru kabisa ya kusimamia uchaguzi ?
Unadhani mwanachama kwa mfano wa Ccm au Chadema hawezi kukipigia chama kingine hata kama ameshapata madhila mengi kutoka Chamani kwake ??!
Hata Nyerere alisemaga Ccm sio mama yangu !!

Kauli ya Nyerere ya kusema CCM sio mama yake ni kauli ya kisiasa tuu.

Je kama ni wanachama jina
 
SIASA NI KAMA BIASHARA UKISHAJENGA NGOME YA WATEJA WAKO KUDONDOKA NI KAZI NGUMU SANA.

Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli

Kila kitu kinahitaji misingi na mizizi ili kiweze kudumu kwa muda mrefu.
Katika Sanaa kuna Fans Base. Msanii anapoanza safari yake ya muziki lazima ahakikishe anatoa kazi nzuri mno zitakazomfanya apate Wafuasi wake. Wafuasi hawa ndio watakaomfanya atambe, apate pesa za show pamoja na wanunuaji wa kazi zake. Ili adumu lazima awafanye Wafuasi hao wampende na kuwa na imani naye.

Kibiashara, sisi wafanyabishara tunajua kabisa kipindi kigumu katika biashara ni kile cha kutengeneza wateja. Yaani kufanya Watu waamini katika huduma na bidhaa zako. Hiki ndio kipindi kigumu lakini muhimû kwani huu ndio msingi wa biashara. Hii itakufanya ujitahidi mno kutoa huduma bora na kwa uaminifu wa hali ya juu kwa wateja wako.

Unaweza ukawa na mtaji Mkubwa lakini kibiashara ukashindwa na Watu wenye mitaji ya kawaida kwa sababu ya kuwa huna msingi wala mizizi katika biashara unayoianzisha.

Katika Dini, ni ngumu sana kumbadilisha mtu imani yake. Yaani mtu ni muislamu safi aje kuwa Mkristo. Au mtu ni Mkristo safi aje kuwa muislamu. Ni kazi sana.

Dini zote mbili zilitumia jasho na damu katika kupata wateja(waumini wake). Mbinu zote zilizohitajika zilifanyika. Na sasa matunda ya kazi ile yanaonekana.

Huwezi kuja na vi- Idea vyako hapo ati kuwafanya Watu wasiamini katika dini. Elewa wao ni wateja, tayari wapo addicted yaani wamelevya. Dini inaweza kuwa inavitu fulani vibaya lakini mteja(muumini) akavitetea au akaona sio vibaya.

Kisiasa, vyama vyote vikuu unavyoviona duniani havikuwa vikubwa kwa usiku mmoja. Vilianza kimagumashi, kidogokidogo vikikumbwa na shinikizo kubwa aidha la kimazingira au chama kikubwa kilichopo.

Hapa nchini, CCM ni chama chenye Wateja wengi mno. Sio kazi rahisi kuangusha chama hicho.
Kadiri mzizi ulivyojichimbia ndivyo unavyojenga uimara wa chama kudumu kwa muda mrefu zaidi.

Ni hakika chama hakiwezi kudumu milele lakini haimaanishi kuwa hakinauwezo wa kuishi muda mrefu. Hata hivyo zipo njia kadhaa za kuzifanya ili chama kiishi maisha marefu sawa na umilele.

Kama vile kujitengeneza mgogoro bandia kisha kukipasua chama mapande mawili kisha kipande kila kipande kilichogawanyika kijitafute jina jingine lakini kimsingi chama kitakuwa kilekile.

Au njia ya pili, ni ile iliyotumiwa ni ile ya kuunganisha vyama vile kama TANU NA ASP na kuzaliwa CCM ambapo ukiangalia wengine wataona kilizaliwa chama kipya lakini chama ni kilekile. Kilichofanyika ni biashara tuu.

Huwezi tumia Wafuasi wa Diamondi kumponda Diamonds ili wamkubali Ali Kiba. muislamu hawezi kutukana Ukristo mbele ya Wakristo ili Wakristo waukubali uislamu. Hiyo haiwezekaniki.

Chadema na vyama vya upinzani, wanautukana Uccm na wakati mwingine hutukana wanaccm alafu muda huohuo wanaomba Wanaccm wahamie Chadema. Uliona wapi mambo kama hayo?

Huwezi uponda Ulevi mbele ya Mlevi ati ili abadilike asiwe Mlevi. Uliona wapi hiyo.

Nawatakia siku Njema

Robert Heriel
Taikon WA Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
The core point ni MISUKULE.

Hivi inawekezanaje unashindwa kuwa mtu huru mwenye malengo huru fikra huru na maisha huru mpaka unatumia maisha yako yote kupambania MALENGO, MAISHA na MAONO ya MTU mwingine.
 
Sio kama waliirithi hiyo katiba kwa mwingine ila walifanya amendments baadhi ya Masuala?

..nadhani 1964 mpaka 1977 ilikuwa katiba ya mpito.

..walipounganisha vyama ndipo walipokuja na katiba mpya inayoitwa katiba ya 1977.

..lakini ipo katiba pendekezwa iliyoandikwa na bunge maalum mwaka 2014.

..Samia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge maalum lililoandika katina hiyo.

..Sasa inashangaza kwamba hata hiyo ya 2014 haitaki.

..Ushauri wa kikosi kazi alichokiunda hautaki.

..Nasaha za viongozi wa madhehebu ya dini nazo hataki kusikiliza.
 
Policcm, tccm, na neccm wasipoingilia michakato...... Mapema sana fisiem inaangukia pua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom