Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Muda wowote kuanzia siku ya leo Freeman Mbowe atatangaza kusitishwa kwa maandamano na kurejea kwenye meza ya mazungumzo. Why..? Yapo mambo matano utafiti wa kisayansi ambao ulionyesha wazi...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Je, Majaliwa wa 2015-2021 ndiye huyo wa sasa!? Ukweli ni kwamba, siye Majaliwa tuliye mzoea. Siye PM Majaliwa aliye wahi kuwa na uwezo wa kuchukua uamuzi mgumu kwa Watumishi wazembe wa Serikali...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Ikiwa Asilimia 82% ya Shehena ya Mizigo inayoenda Nchi Jirani inakwenda kwenye Nchi 3 tuu za DRC,Zambia na Rwanda ,Kwa nini SGR Inajengwa Kwenda Mwanza na sio Kigoma,Burundi na Rwanda? Wale...
5 Reactions
201 Replies
12K Views
Baada ya maombi ya Tanzania kupata kibali kipya cha kuruhusu kupakia na kupakua mizigo kiitwacho Fifth Freedom Traffic Rights, ndege za ATCL sasa zimeruhusiwa kutua Nairobi. Ndege za ATCL zikiwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya makada wa CCM wameanza kutoa kauli tata ambazo zinaashiria kuwa vyovyote itakavyokuwa lazima CCM ibaki Madarakani...
2 Reactions
7 Replies
969 Views
Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam RC Albert Chalamila, jana alitangaza kuwa mkoa wa Dar es salaam utakuwa katika operation ya kufanya usafi siku ya tar 24/01/2024, siku...
4 Reactions
74 Replies
39K Views
Wanabodi, Nimesoma mahali kuhusu mchango wa diaspora na influence yao kwenye siasa za nchi zao, hivyo najiuliza, je hawa wana diaspora wetu sisi Tanzania, waliotapakaa ulimwenguni kote, jee wana...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Tukiacha ushabiki na kulishwa maneno kama majibu ya maswali yote mawili kwako ni "Ndiyo" basi unatakiwa kuunga mkono dual citizenship kwa wazawa wa Tanzania 1. Je unataka Watanzania wazawa ambao...
16 Reactions
54 Replies
5K Views
Ukweli ni kuwa hakuna mtanzania mwenye akili timamu atashiriki maandamano ya Chadema tarehe 24 Kwanza hayo sio maandamano ya kumsaidia mtanzania bali ni maandamano ili viongozi wa Chadema waweze...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Mtake msitake, binadamu ni tofauti na mnyama, ambaye hutamkandamiza akubali siku zote. Tulichokikataa kwa wazungu wachache wa Afrika ya kusini zamani; hatutakifanya leo kikubalike popote...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekutana na Waziri wa Uhamiaji na Bima ya Taifa wa Bahamas, Alfred M. Sears pembezoni mwa l Mkutano wa Wakuu wa Nchi na...
1 Reactions
0 Replies
547 Views
Sikiliza ujumbe huu kuhusu wanasiasa. My take, tutafuteni maisha yetu, tusitegemee wanasiasa watatubadilisha maisha yetu binafsi. Tupige kaazi.
0 Reactions
0 Replies
372 Views
https://www.youtube.com/watch?v=G4tNsKr16_o Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa unaoundwa na Vyama 13 vyenye usajili Nchini unazungumza na Wanahabari, leo Jumatano Januari 17, 2024. Mwenyekiti wa...
7 Reactions
82 Replies
24K Views
Mnara wa Babeli? Lissu anaonekana akiwa na furaha kubwa sana huko Ivory Coast akishangilia timu ya Msumbiji. Lissu amegundua kwamba Mbowe anamuwekea mtego ili kumuonyesha kwamba aina ya siasa...
5 Reactions
40 Replies
20K Views
Idadi ya watu ndio inapaswa kuwa kipimo cha ubunge. Sio Halmashauri au eneo tu la kijiografia kwa sababu mbunge anapaswa kuwakilisha wapiga kura na wapiga kura wote wanapaswa kuwakilishwa kwa...
2 Reactions
4 Replies
534 Views
Waraka alioutoa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12 2024 umetajwa kuigawa CCM huku wazalendo wakimuunga mkono na wale wa mrengo wa upigaji wakiupinga...
8 Reactions
60 Replies
24K Views
Serikali ya Tanzania imeanza kuwajengea uwezo mawakili wake ili kuzikabili kesi zitakazojitokeza baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Mafunzo kwa...
1 Reactions
1 Replies
756 Views
Dk. Mollel Naibu Waziri wa Afya acha kutumia ofisi na kodi za umma kuendesha propaganda na kupotosha maudhui ya hoja ya Mheshimiwa Mpina kuhusu Hospitali za Umma kutoa huduma za kuongeza Makalio...
1 Reactions
2 Replies
966 Views
CCM kujivua gamba ni ngumu sana. Binafsi nadhani CCM kinahitaji Katibu Mkuu aliyekuwepo kwenye ama TANU au ASP pia ili kukidhi mahitaji ya sifa ya uzalendo na uadilifu. Umma umeishaaminishwa...
0 Reactions
11 Replies
976 Views
Back
Top Bottom