Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Let us be serious hata kidogo na maisha ya hawa watoto wetu; tujaribu kufanya yale tungependa kufanyiwa. Gharama za matibabu nchini ni kubwa sana, tuwaonee huruma hawa wasiojitambua. Kama boda...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA na mbunge wa zamani Mheshimiwa John Heche amesema wao wapo tayari kufanya mdahalo na CCM, kwa kuwa ni CCM yenye majibu ya maswali na mambo...
5 Reactions
60 Replies
4K Views
Kumekua na watu wengi wanaoamini Walimu ndo wahusika wakuu wanaoisaidia CCM na dola kuiba kula wakati ya uchaguzi. Ilihali ukweli upo wazi kabisa,mwl ni msimamiz tu wa kituo ambapo Kuna ma wakala...
1 Reactions
8 Replies
642 Views
Nimestuka sana nilipoisikia kauli aliyotoa mkuu wetu wa mkoa wa Dar tena kanisani, kuwa tarehe 24, "anawaagiza" askari Polisi 5,000 na askari wa JWTZ 8,000 wajitokeze mitaani Dar, ili wafanye...
13 Reactions
80 Replies
21K Views
Tanzania imetajwa na IMF miongoni mwa Nchi 10 Zenye Madeni kidogo Sana. Orodha hiyo inayopima uwiano wa deni la Taifa na Ukubwa wa Uchumi imeonesha Nchi ya Tanzania Ina uwiano wa Asilimia 41.8%...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kiongozi wa mwisho aliyefanya mdahalo kwa kujiamini bila woga alikuwa ni hayati Benjamini Mkapa baada ya hapo waliofuatia wote waliingia mitini na sababu mbali mbali. Imenikumbusha aibu ya...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii...
5 Reactions
52 Replies
6K Views
Wako Wanasiasa wengi ambao wamekuwa Siasani Lakini Siasa hazijawakuza hivyo wanakuwa watu wasio na misimamo Na Hili liko kwa watoto wengi wa viongozi ambao hubebwa tu na mbeleko na Majina ya baba...
2 Reactions
11 Replies
816 Views
UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO NKINDIKWA DAVIDKUHUSU TATHMINI YA ZIARA YA KATIBU WA ITIKADI NAUENEZI WA CCM TAIFA, NDG. PAUL CHRISTIANMAKONDA ALIYOIFANYA KATIKA MIKOA YA KANDA YAZIWA MWEZI NOVEMBA...
6 Reactions
17 Replies
4K Views
Wana Bodi, Kuna Mawaziri 5 ambao sina uhakika sana na rekodi zao katika Utumishi wa Umma hivyo mambo mengi yanayohusu Public Fund hawayajui na wanadhani wakiwa Mawaziri wanaweza kufanya maamuzi...
6 Reactions
65 Replies
5K Views
Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6...
15 Reactions
133 Replies
29K Views
Siasa siku zote haitabiriki. Ukiona mwanasiasa ameanguka weka akiba ya maneno. 2015, Sophia Simba, Adam Kimbisa na Emmanuel Nchimbi walitoka hadharani kupinga kutenguliwa kwa jina la Lowassa...
2 Reactions
3 Replies
684 Views
Ndio kwa utashi wangu nimeamua kumpuuza RC huyu wa Dar baada ya kujiridhisha kuwa hastahili nafasi hiyo. ni kubwa sana kwake, ajaribu shughuli nyingine Sina uhakika kama mwamba huyu anayafahamu...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Baada ya CHADEMA kutangaza maandamano Jan 24, Mh RC Chalamila nae ametangaza kuwa siku ya tarehe 23 na 24 Januari kuwa siku za usafi utakaofanya na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Mimi nasema...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Suala la maandamano ni la kikatiba na Rais Samia aliapa kulinda katiba tena akishika Quran kabisa. Iweje atake kuvunja kiapo chake tena kwa kulishirikisha jeshi waivunje pamoja. Hivi yeye...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Na; Hamis Abeid Baruani UDASA, UDSM. Kwa masikitiko makubwa leo Mbowe ameushangaza umma kwa kuongea mambo mawili ambayo hadi sasa yamepingwa kila kona ya nchi. 1. Katangaza kususia maridhiano 2...
4 Reactions
112 Replies
23K Views
Usinulize kwanini na hasa kwa nini wakati huu. The man is smart, Energetic, Master mind, Planner nk. Na sasa wale wapinzani wa Mama Samia hesabuni Maumivu. Sio lazima ateuliwe anaweza kuwepo...
17 Reactions
179 Replies
14K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaagiza watendaji wa serikali kuangalia upya utaratibu wa kuingia katika nyumba za wageni maarufu kama gesti ikiwezekana kuwepo na vitambulisho...
3 Reactions
20 Replies
19K Views
Hii tabia tunayoisikia ya tunamshukuru sana Mhe. Rais na hata kupiga magoti, this is not right (hii si sawa) kwa kuwa hatuwezi kumshukuru Rais. Kwa kuwa Tanzania tuna culture (utamaduni) ya...
13 Reactions
107 Replies
8K Views
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO anapenda kuwajulisha wananchi wote wa Jimbo la Ngara kuwa kazi yake ya uwakilishi inaendelea kulipa baada ya kushiriki kuipitisha Bajeti ya...
0 Reactions
3 Replies
726 Views
Back
Top Bottom