Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Hili jambo ninalolizungumza hapa, ni jambo very serious na la kweli, sio jambo la masikhara, kwa sababu mimi binafsi ni shuhuda na mhanga wa jambo kama hili kuwa ni jambo la kweli...
37 Reactions
148 Replies
25K Views
Uchaguzi ni wakati muhimu sana katika mchakato wa kidemokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi na chama ambacho wanaamini kitatekeleza sera na ahadi zilizowekwa. Katika kufanya...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
CHADEMA huwa mna utaratibu wa wowote wa kujadiliana na kukubaliana katika kutengeneza nyaraka zenu na miongozo mbalimbali ya kichama kwa mambo ambayo yatakuwa na umuhimu sana "consequential"...
2 Reactions
8 Replies
736 Views
Siasa kute duniani ni ngumu na n hatari sana, kwa mhusika na familia yake.You never know. Sakata la mradi wa RICHMOND ambalo lilisababisha Mh Endward Lowasa kujiuzuru nafasi ya Uwaziri Mkuu...
3 Reactions
10 Replies
6K Views
Paul Makonda ambaye ni Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa amezungumza hayo akiwa Njombe mjini. "Na sisi tukimaliza hii ziara tunampelekea ripoti Mwenyekiti wa chama Taifa ambaye...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
“Nimeishi na Edward Lowassa nyumba moja Dodoma kwa miaka 15. Namfahamu kuliko wengi. Alikuwa Kiongozi mwenye nidhamu ya hali ya juu, mwenye akili tulivu, mcha Mungu wa dhati, mnyenyekevu na mwenye...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Kauli ya Barozi Juma Mwapachu Kuhusu Lowassa nimekuwa kimya kwa muda mrefu katika mabadilishano ya fikra kwenye mtandao huu ambao kwa hakika, kwa maoni yangu, haubidi kuwa ni wa fikra pevu zisizo...
16 Reactions
109 Replies
18K Views
Toka aliposhindwa vibaya kwenye kura za maoni kwenye uchaguzi wa 2020 jimbo la Nkege hajawahi kuonekana tena sijui kajichimbia wapi?
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Huyu mbunge wa kawe ambaye alikuwa napesa mingi sana kiko wapi? Kapata ubunge Kawe ni Hovyo barabara chafu, mbovu, miundombinu ni mibaya, wazo yote ila Mungu anawaona wanasiasa aisee
2 Reactions
28 Replies
1K Views
MWANASIASA KIJANA ALIYEFANYA MAMBO MAKUBWA NA YA MAANA 2010 - 2024 NI PAUL MAKONDA Na Comrade Ally Maftah Nikiwatathmini wana siasa vijana walio fanya kazi ya siasa yenye maana zaidi kati ya...
4 Reactions
18 Replies
952 Views
MBUNGE NORAH MZERU ATAKA KUJUA HATMA YA ZAHANATI YA KATA YA MAFISA MKOANI MOROGORO "Je, lini Serikali itamalizia ujenzi wa Zahanati ya Uwanja wa Ndege katika Kata ya Mafisa Mkoani Morogoro?" -...
1 Reactions
0 Replies
435 Views
Hivi kwa mfano Naomba nisaidiwe kusoma hiyo expire date hapo kwenye picha Na bidhaa za aina hii zipo nyingi yani expired date haieleweki kabisa utakuta imeandikwa ila huwezi kuielewa kabisa...
12 Reactions
38 Replies
5K Views
Kwanza Kabisa nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya ya kuwaletea Maendeleo wananchi wako wewe Binafsi Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bila kujali ni kwa kiasi gani unaangushwa na baadhi ya...
0 Reactions
2 Replies
841 Views
Wanabodi, Naomba kulianza bandiko hili kwa kutoa pongezi kwa Kamati Kuu ya CCM kufanya maamuzi magumu. Hata kama mimi binafsi sikubaliani na maamuzi hayo, lakini kitendo tuu cha CCM kufanya...
39 Reactions
207 Replies
26K Views
Akifundisha somo la Katiba Mpya kwenye jimbo la Buhigwe, ambalo Mbunge wake alikuwa Phillipo Mpango, kwenye Mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Umati wa Wananchi, Tundu Lissu amedai kwamba, mkoa...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Katika watu wa Tanzania waliobarikiwa kuwa na mvuto wa kisiasa na nyota kwenye Jamii, Freeman Mbowe ni miongoni mwao. Huyu Jamaa anatisha. Kwenye Msiba wa Lowassa wamefika viongozi wengi mno...
35 Reactions
89 Replies
8K Views
Miamba hii mitano ndio inayohusika kwa kiasi kikubwa zaidi na mwanzo hadi mwisho wa maisha ya kisiasa ya Edward Lowassa. Edward Lowassa alianza maisha ya siasa katika mikono ya Mwalimu Nyerere...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Yaani isingekwa hivyo mpaka sasa watu wengi sana wangekuwa wameshaumizwa na Serikali yake. Ona Makonda anavyowachomea watu kwa wazi wazi - ingekuwa kipindi cha JPM wangekuwa wanakamatwa hapo hapo...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni kweli mmechota fedha nyingi kupitia udhaifu wake. Ni kweli mmetorosha mali kupitia udhaifu wake. Ni kweli mmeiba kupitia udhaifu wake Ni kweli mmenunua mahekalu nje ya nchi kupitia udhaifu wake...
5 Reactions
8 Replies
818 Views
Back
Top Bottom