Afadhali Rais Samia ana roho nzuri na ni mpenda watu, la sivyo wengi wangeshaumizwa na Serikali yake

Lyambalyetu

JF-Expert Member
Apr 6, 2021
265
240
Yaani isingekwa hivyo mpaka sasa watu wengi sana wangekuwa wameshaumizwa na Serikali yake. Ona Makonda anavyowachomea watu kwa wazi wazi - ingekuwa kipindi cha JPM wangekuwa wanakamatwa hapo hapo au kutumbuliwa, bila hata undani wa kujua anayowachongea kwaye yana ukweli au hapana. Mama Samia anajua fika wazuri na wabaya wote ni watu wake.

Majizi na Waaminifu wote ni watu wake. Matajiri na Maskini wote ni watu wake. Walio haki na wasio haki wote ni watu wake. Wenye madaraka na wasio na madaraka wote ni watu wake. Wabinyi demokrasia na wataka demokrasia wote ni watu wake,n.k.

Mama huyu aendelee kubarikiwa hekima kama alizokuwa nazo Mfalme Suleiman - tumwombee kwa Mungu aendelee kuwa hivi hivi na asibadilishwe kamwe. Leo katamka maneno ya hekima kubwa kuwa Uchaguzi wa Serikali za Mtaa utatawaliwa na haki tupu, Mwenyezi Mungu asaidie sana kwa hili.

Mama yetu zidi kumtegemea Mwenyezi Mungu katika uongozi wako na yeye ndiyo atakulipa kwa yote hayo uyatendayo. SISI WOTE NI WATU WAKO, kama ilivyo WEWE NA SISI WOTE NI WATOTO WA MUNGU!
 
Umeme uko wapi we Dada?

Sukari mmeificha wapi dada wa CCM.

Hovyo kabisa, kuwapenda watu ni kuhakikisha walau wanaweza kula milo mitatu kwa siku, wakati viongozi hawajui kulala njaa huku mitaani pesa hakuna, bidhaa bei juu halafu unasema wananchi wanapendwa na kujaliwa?
 
Yaani isingekwa hivyo mpaka sasa watu wengi sana wangekuwa wameshaumizwa na Serikali yake. Ona Makonda anavyowachomea watu kwa wazi wazi - ingekuwa kipindi cha JPM wangekuwa wanakamatwa hapo hapo au kutumbuliwa, bila hata undani wa kujua anayowachongea kwaye yana ukweli au hapana. Mama Samia anajua fika wazuri na wabaya wote ni watu wake.
Roho nzuri ni kuhakikisha wananchi hawaumizwi na karaha ya kukosa umeme.
 
Watu Kila siku wanalala nja na familia zao Kwa sababu hakuna umeme.

Tena umeme wenyewe unazimwa Kwa agizo la mafisadi Ili wauze Magenerator Yao na Solar zao alafu wewe unasifia hayo.

Wewe ni kilaza pia mjinga.
 
Yaani isingekwa hivyo mpaka sasa watu wengi sana wangekuwa wameshaumizwa na Serikali yake. Ona Makonda anavyowachomea watu kwa wazi wazi - ingekuwa kipindi cha JPM wangekuwa wanakamatwa hapo hapo au kutumbuliwa, bila hata undani wa kujua anayowachongea kwaye yana ukweli au hapana. Mama Samia anajua fika wazuri na wabaya wote ni watu wake.

Majizi na Waaminifu wote ni watu wake. Matajiri na Maskini wote ni watu wake. Walio haki na wasio haki wote ni watu wake. Wenye madaraka na wasio na madaraka wote ni watu wake. Wabinyi demokrasia na wataka demokrasia wote ni watu wake,n.k.

Mama huyu aendelee kubarikiwa hekima kama alizokuwa nazo Mfalme Suleiman - tumwombee kwa Mungu aendelee kuwa hivi hivi na asibadilishwe kamwe. Leo katamka maneno ya hekima kubwa kuwa Uchaguzi wa Serikali za Mtaa utatawaliwa na haki tupu, Mwenyezi Mungu asaidie sana kwa hili.

Mama yetu zidi kumtegemea Mwenyezi Mungu katika uongozi wako na yeye ndiyo atakulipa kwa yote hayo uyatendayo. SISI WOTE NI WATU WAKO, kama ilivyo WEWE NA SISI WOTE NI WATOTO WA MUNGU!

Maji, umeme hakuna huku wiki sasa. Tank limeisha maji.

Majizi unafurahi wakiachwa waendelee kuiba au kuamishwa wizara? Halmashauri wizi umekithiri, mashamba, nyumba, mafao, ardhi ya masikini inachukuliwa.

Upendo ni nini kwa tafsiri yako?
 
Yaani isingekwa hivyo mpaka sasa watu wengi sana wangekuwa wameshaumizwa na Serikali yake. Ona Makonda anavyowachomea watu kwa wazi wazi - ingekuwa kipindi cha JPM wangekuwa wanakamatwa hapo hapo au kutumbuliwa, bila hata undani wa kujua anayowachongea kwaye yana ukweli au hapana. Mama Samia anajua fika wazuri na wabaya wote ni watu wake.

Majizi na Waaminifu wote ni watu wake. Matajiri na Maskini wote ni watu wake. Walio haki na wasio haki wote ni watu wake. Wenye madaraka na wasio na madaraka wote ni watu wake. Wabinyi demokrasia na wataka demokrasia wote ni watu wake,n.k.

Mama huyu aendelee kubarikiwa hekima kama alizokuwa nazo Mfalme Suleiman - tumwombee kwa Mungu aendelee kuwa hivi hivi na asibadilishwe kamwe. Leo katamka maneno ya hekima kubwa kuwa Uchaguzi wa Serikali za Mtaa utatawaliwa na haki tupu, Mwenyezi Mungu asaidie sana kwa hili.

Mama yetu zidi kumtegemea Mwenyezi Mungu katika uongozi wako na yeye ndiyo atakulipa kwa yote hayo uyatendayo. SISI WOTE NI WATU WAKO, kama ilivyo WEWE NA SISI WOTE NI WATOTO WA MUNGU!
Sasa hiyo ndio roho nzuri au uoga na kusutwa nafsi kwa kuwa ni washirika wake?
 
Biashara ngapi zimekufa kwa ajili ya kukosa umeme, Watanzania milioni ngapi wameathirika na hali hii.

Watu wachache wanaiba bilioni, trilioni ambazo zingeenda kusaidia elimu, afya, barabara kwa mamilioni ya Watanzania.

Kuwatunza wezi wachache na kuwatosa mamilioni ya Watanzania ndio roho nzuri, upendo kwako?
Yaani isingekwa hivyo mpaka sasa watu wengi sana wangekuwa wameshaumizwa na Serikali yake. Ona Makonda anavyowachomea watu kwa wazi wazi - ingekuwa kipindi cha JPM wangekuwa wanakamatwa hapo hapo au kutumbuliwa, bila hata undani wa kujua anayowachongea kwaye yana ukweli au hapana. Mama Samia anajua fika wazuri na wabaya wote ni watu wake.

Majizi na Waaminifu wote ni watu wake. Matajiri na Maskini wote ni watu wake. Walio haki na wasio haki wote ni watu wake. Wenye madaraka na wasio na madaraka wote ni watu wake. Wabinyi demokrasia na wataka demokrasia wote ni watu wake,n.k.

Mama huyu aendelee kubarikiwa hekima kama alizokuwa nazo Mfalme Suleiman - tumwombee kwa Mungu aendelee kuwa hivi hivi na asibadilishwe kamwe. Leo katamka maneno ya hekima kubwa kuwa Uchaguzi wa Serikali za Mtaa utatawaliwa na haki tupu, Mwenyezi Mungu asaidie sana kwa hili.

Mama yetu zidi kumtegemea Mwenyezi Mungu katika uongozi wako na yeye ndiyo atakulipa kwa yote hayo uyatendayo. SISI WOTE NI WATU WAKO, kama ilivyo WEWE NA SISI WOTE NI WATOTO WA MUNGU!
Biashara ngapi zimekufa kwa ajili ya kukosa umeme, Watanzania milioni ngapi wameathirika na hali hii.

Watu wachache wanaiba bilioni, trilioni ambazo zingeenda kusaidia elimu, afya, barabara kwa mamilioni ya Watanzania.

Kuwatunza wezi wachache na kuwatosa mamilioni ya Watanzania ndio roho nzuri, upendo kwako? Mungu yupi anayeruhusu huu uhuni? Hii ndio kipimo cha hekima kwako?
 
Yaani isingekwa hivyo mpaka sasa watu wengi sana wangekuwa wameshaumizwa na Serikali yake. Ona Makonda anavyowachomea watu kwa wazi wazi - ingekuwa kipindi cha JPM wangekuwa wanakamatwa hapo hapo au kutumbuliwa, bila hata undani wa kujua anayowachongea kwaye yana ukweli au hapana. Mama Samia anajua fika wazuri na wabaya wote ni watu wake.

Majizi na Waaminifu wote ni watu wake. Matajiri na Maskini wote ni watu wake. Walio haki na wasio haki wote ni watu wake. Wenye madaraka na wasio na madaraka wote ni watu wake. Wabinyi demokrasia na wataka demokrasia wote ni watu wake,n.k.

Mama huyu aendelee kubarikiwa hekima kama alizokuwa nazo Mfalme Suleiman - tumwombee kwa Mungu aendelee kuwa hivi hivi na asibadilishwe kamwe. Leo katamka maneno ya hekima kubwa kuwa Uchaguzi wa Serikali za Mtaa utatawaliwa na haki tupu, Mwenyezi Mungu asaidie sana kwa hili.

Mama yetu zidi kumtegemea Mwenyezi Mungu katika uongozi wako na yeye ndiyo atakulipa kwa yote hayo uyatendayo. SISI WOTE NI WATU WAKO, kama ilivyo WEWE NA SISI WOTE NI WATOTO WA MUNGU!
We mpuuzi sana . Tunashida bila umeme afu unasema raisi ana roho nzuri. Waht the fu**k
 
Back
Top Bottom