Siri ya Ibrahim Msabaha 'kufichwa mazima' mara tu baada ya Lowasa kujiuzuru 2008

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Siasa kute duniani ni ngumu na n hatari sana, kwa mhusika na familia yake.You never know.

Sakata la mradi wa RICHMOND ambalo lilisababisha Mh Endward Lowasa kujiuzuru nafasi ya Uwaziri Mkuu bila kupenda, lilikuwa pia linahusisha ushiriki wa moja kwa moja wa vigogo (na baadhi ya watoto wao). Mradi huu bado unalitafuna Taifa hadi hivi leo.

Mara tu baada ya Mh Lowasa kujiuzuru, Msabaha kama mjumbe mmoja wapo wa kamati teule kuchunguza swala hilo, alikuwa na list ya wahusika wote na akawa anataka "kuitema" siku hiyohiyo Lowasa alipojiuzuru.Alitaka kumwaga mchele penye kuku wengi.

Mara tu kikao cha bunge kilipoisha, Mh Ibrahimu Msabaha "aliwekwa kati" na system na kuhakikisha hajinafasi katika mji huo wa Dodoma,walimpa escort kali sana toka Dodoma to Dsm ambapo waliyomwambia na kumfanyia siku hiyo, hakuonekana tena wala kusema kitu chochote.Na ndo ikawa mwisho wake wa siasa za hapa duniani.

Nasikia tu kwa juu- juu kwamba, Msabaha yupo kwake Morogoro (specifically sijui) na aliambiwa 'wanamfuatilia' nyendo zake kupitia mwenyekiti wa mtaa na kijiji.

Mwenye taarifa za Ibrahim Msabaha, alipo na status yake atudondoshee hapa.
 
Huu ni umbea tu hauna maana yoyote. Sasa hivi tunazungumzia endapo kuna njaa Tz ama la!
 
Mmmh leo tena
 
Back
Top Bottom