Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimepokea kwa mshituko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Bernard Kamillius Membe. Nimemfahamu miaka mingi, tumetoka nae mbali na tumesaidiana kwa mengi. Familia zetu, na mapito ya...
20 Reactions
52 Replies
8K Views
Baada ya kutoka Kolomije na kufika Dar es salaam Makonda alifikia Lumumba kwa utambulisho wa uCCM. Alilala katika moja ya ofisi za chama hicho siku kadhaa kabla ya Mzee Samwel Sitta kumchukua...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
CHADEMA wamepata Ruzuku ya Zaidi ya 2.7 sababu kubwa ni Kura za Mzee Lowassa lakini cha ajabu fedha hizo zimeishia kuhudumia wanafamilia na si ujenzi wa uimara wa chama badalayake viongozi kujenga...
0 Reactions
2 Replies
483 Views
Wanabodi, Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani Hili ni swali tuu, inasemekana hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika...
5 Reactions
109 Replies
18K Views
Kichwa cha uzi ni maneno ya hayati Lowasa kama nilivyoyakuta kwenye ukurasa wa X wa waziri Nape Ahsanteni Sana Nawatakieni Dominica Njema 😄
1 Reactions
11 Replies
667 Views
Paul Makonda ni Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi. Bila kuathiri Muundo wa Utumishi Serikalini, yeye Makonda ni Kiongozi wa Chama Cha Siasa Kama ilivyo kwa Chadema, TLP na CUF. Kwa hiyo chain of...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanabodi, Jumamosi ya leo, nimepata fursa kuangalia mjadala wa 'Jicho Letu Ndani ya Habari" unaondeshwa na Star TV kila Jumamosi asubuhi, kipindi kikiongozwa Dotto Emmanuel Bulendu kule Mwanza...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanabodi, Kwanza naomba ku declare my interest, kuwa japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa, sio mshabiki wa mtu yoyote, sio mfuasi wa mtu yoyote, Ila kuna watu ninaowakubali sana kwenye...
14 Reactions
134 Replies
19K Views
Kwema Wakuu! Tofauti na viongozi wengine walio/wanaojivunia Umaskini kwenye majukwaa. Kwa kusema oooh! Mimi mtoto wa maskini, mara ooh! Nimelelewa katika mazingira magumu. Ili wapate huruma au...
1 Reactions
5 Replies
673 Views
Wanabodi, CC ya CCM, imefanya kazi yake, imelikata jina la kipenzi cha wengi, Edward Ngoyai Lowassa!. Jee kukatwa huku ndio mwisho wa ile safari ya matumaini, au ndio mwanzo wa safari ya...
29 Reactions
272 Replies
46K Views
Wakuu sana, Hiki kitu tunaita siasa. Mtu anafanya siasa. Huyu ni mwanasiasa, ni kitu gani? Siasa ni kitu gani?
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Wanabodi, Mimi ni miongoni mwa watu tulijibainisha humu kumuunga mkono kwa dhati, Mwamba wa Kaskazini, Edward Ngoyai Lowassa, na tukaahidi humu akiondolewa kwa mizengwe, hatuta kubali...
21 Reactions
86 Replies
18K Views
Wanabodi, Dhana ya ukombozi ni ngumu sana kueleweka, hata YULE aliyakuja kuukomboa ulimwengu, alikataliwa, wakamtesa, wakamsulubisha kwa kifo cha aibu Msalabani, lakini siku ya tatu, alifufuka...
18 Reactions
118 Replies
12K Views
Katika sera zake na ahadi zake za urais 2015 Lowassa aliahidi kuwa angeunganisha VETA na JKT endapo angechaguliwa kuwa Rais. Haya yalikuwa maono makubwa naomba yaenziwe na Serikali
0 Reactions
1 Replies
449 Views
Tofauti na George Mkuchika hakuna Waziri mwingine mzoefu wa mifumo na miundo ya serikali kisiasa na kiusalama. Mawaziri waliobaki wote wanabase kwenye siasa wakati ambao hakuna nchi Duniani...
4 Reactions
9 Replies
854 Views
BURIANI MH EDWARD LOWASA. Na Comrade Ally Maftah Nachukua nafasi hii kutoa pole sana kwa Familia ya Hayati Edward Lowasa. Kwa maumivu niliyonae juu yake yeye ambae ni sehemu ya waalimu wangu wa...
1 Reactions
5 Replies
833 Views
Hakunaga haja ya kuhangaika na Mavazi wakati Umeme na Sukari ni shida Badala ya Vazi litabuniwa Bango la Taifa Tushughulikie electricity and Sugar kwanza 😂😂 Vazi tuendeleze Sare ya CCM...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Pengine mtu mbaye anabeba vichwa vya habari kwa sasa kuliko mtu mwingine yoyote hapa nchini kwa sasa ni Paul Makonda aka Bashite. Watu wanajiuliza maswali mengi, iweje mtu huyu huyu, kwenye...
8 Reactions
69 Replies
4K Views
Wanabodi, Baada ya kumsikiliza kwa makini Waziri Mkuu "Mstaafu", Edward Lowassa katika two- series za kipindi cha Dakika 45 cha ITV, kwanza nimemkubali sana huyu jamaa!, pili kama yeye ndiye...
5 Reactions
511 Replies
63K Views
Wanabodi, Habari za Jumapili. Jumapili ya leo, naomba tutafakari kwa pamoja msemo huu wa lugha ya Kilatini kuwa "Vox Populi is Vox Dei" ukimaanisha "Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu!", au...
7 Reactions
98 Replies
18K Views
Back
Top Bottom