Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bunge limeagiza Serikali kwenda haraka katika Jimbo la Kwela mkoani Rukwa kwa ajili ya kusaidia mgogoro kati ya wananchi na Taasisi ya Epheta Ministry ambao umepelekea watu kupigwa risasi. Agizo...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 47.424 katika mwaka 2024/2025. Dkt. Nchemba amesema hayo Bungeni jijini Dodoma...
1 Reactions
9 Replies
920 Views
Ni Udhaifu mkubwa sana kuahirisha mikutano kwa sababu tu Chopa haipo Kwa ninavyoijua CCM watashikilia Hapo Hapo kwenye Kibali cha Chopa 😂 Sitashangaa Chadema KUSUSIA Uchaguzi mkuu wa 2025
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Asubuhi ya leo nikikatiza maeneo ya mbuyuni huku Mbezi Beach wakati naelekea mjini tulipofika maeneo ya Kwa Mwinyi, pale ilipo nyumba yake ya miaka mingi rafiki yangu akanionyesha kiwanja kikubwa...
9 Reactions
49 Replies
4K Views
Habari za muda huu ndugu zangu. Nimepita katika media nyingi tangu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ateuliwe kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi CCM Paul Makonda...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Tangazo la Kupokea maoni kuhusu Mswada. Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
0 Reactions
3 Replies
439 Views
Baada ya Sakata la DPW upepo wa siasa umebadilika sana ni dhahiri mama kashagundua alikuwa amezungukwa na ukoo wa panya. Hii pangua pangua. Weka ma meja general kaanza kurudi kwa mtangulizi wake...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
EWURA kupitia Mkurugenzi wao naona wanamvimbia Mh BITEKO, Hali ya utoaji huduma ya gesi asilia kwa magari ni mbaya sana! watu wanaenda kujaza magari vituo viwili tu Tanzania nzima kweli? tena...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa...
18 Reactions
115 Replies
17K Views
Yaani huku ulipoingia naona umepotea kaka. Huna haki yoyote ile ya kumchagulia mwananchi cha kuhitaji ukiwachia bange na madawa mengine ya kulevya. Ngono siyo dhambi ili mradi hajatumia uharamia...
12 Reactions
84 Replies
7K Views
Hii ni kali. 👇 "Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Pamekuwa na Tabia ya Mawaziri kujimwambafy Kwamba wao ni Wawakilishi wa Rais wa JMT, hiyo si kweli wao ni Wasaidizi tu Endapo Waziri anatoka katika fungu la 10 la Wabunge wa kuteuliwa na Rais wa...
5 Reactions
3 Replies
567 Views
MHE. ZAYTUN SWAI: WAZIRI AJE ATUELEZE SEKTA YA UTALII ITAFIKISHAJE WATALII MILIONI 5 HADI KUFIKIA 2025 SAWA ILANI YA CCM "Naipongeza Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Bunge lililokosa uungwaji mkono na wananchi walio wengi kwa muda sasa wananchi wamelipotezea na kulisusa. Ktk mitaa mingi mikoa na wilaya watu hawamjui hata Waziri wa Kilimo ni nani wala waziri...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mbunge Ngassa Akichangia Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa 2024 - 2025 "Mwaka 2000 wakati tunaweka Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2000 - 2025 kama Taifa tuliweka mikakati...
0 Reactions
1 Replies
503 Views
Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Ofisi ya Rais - TAMISEMI) ina jukumu la kusimamia Tawala za Mikoa; Tawala za Serikali za Mitaa; Uratibu wa Huduma za jamii Vijijini na Mijini kama...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Sijui, ila mie naliona hili katika sura tofauti, naliona kama ni dhana tu ya kutafuta vidagaa vidogo dogo kuvitoa kafara ili kuficha mambo makubwa maovu ambayo yanafanywa na watendaji pamoja na...
2 Reactions
2 Replies
685 Views
Kila ninapoisoma ripoti ya CAG huwa nashawishika kusema mfumo wa Ukaguzi wa Ndani umekufa kabisa. Kwa mfano Council zote nchini zina Internal Auditors lakini utashangazwa na madudu yanayoibuliwa...
3 Reactions
2 Replies
327 Views
Mh.Kingwangwala kwanini mnatoa vibali ya kuwawinda simba na chui,sitisha trophy hunting ,tuwalinde simba&chui wetu - JamiiForums Nimeshaandika nyuzi kibao huko nyuma kuhusiana na serikali kutoa...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
NDUGU wa mfanyabiashara mashuhuri nchini, Rostam Aziz, anayefahamika kwa jina la Akram Aziz, amefutiwa mashitaka na serikali. Akram alifunguliwa mashitaka mahakamani tarehe 31 Oktoba mwaka huu...
16 Reactions
179 Replies
34K Views
Back
Top Bottom