Makonda is a shining star (mwanasiasa kijana mwenye nyota kali 2010 - mpaka sasa)

Nov 6, 2016
51
141
MWANASIASA KIJANA ALIYEFANYA MAMBO MAKUBWA NA YA MAANA 2010 - 2024 NI PAUL MAKONDA

Na Comrade Ally Maftah

Nikiwatathmini wana siasa vijana walio fanya kazi ya siasa yenye maana zaidi kati ya miaka ambayo macho yangu yakiwa yanaweza kutazama na ubongo kufikiri sawa sawa namwona Paul Makonda.

Mimi ni shabiki namba moja wa aina ya siasa za Paul Makonda. wakati kundi kubwa likiwa halimwelewi Makonda mimi nilikuwa namwelewa sana,

Wananchi wengi tuna matatizo makubwa ya kuwapenda wana siasa waongo waongo ( watoa ahadi ) badala ya wana siasa watatuzi wa matatizo, wanaofikiri kuleta mbadala wa mambo,na wanaozungumza ukweli mbele za watu,nawana siasa wasio na vinyongo.

Paul Makonda ana mtindo wa pekee sana wa kisiasa, hataki kuzungumzia pembeni pembeni, huwa ana penda kuyabwaga mambo wazi, na si mwenevu, hanaga visasi, na ni mzungumzaji mzuri sana anayewavutia wengi sana kwa mitindo yake ya uzungumzaji,

Comrade Ally Maftah nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu makonda naweza kusema ndio SUPER STAR POLITICIAL FROM 2010 -UP TO NOW

Ndimi
Comrade Ally Maftah
  • Mjumbe wa Mkutano wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam
  • Mjumbe Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam
  • IMG-20240212-WA0173.jpg
    IMG-20240212-WA0174.jpg
 
MWANASIASA KIJANA ALIYEFANYA MAMBO MAKUBWA NA YA MAANA 2010 - 2024 NI PAUL MAKONDA

Na Comrade Ally Maftah.

Nikiwatathmini wana siasa vijana walio fanya kazi ya siasa yenye maana zaidi kati ya miaka ambayo macho yangu yakiwa yanaweza kutazama na ubongo kufikiri sawa sawa namwona Paul Makonda.

Mimi ni shabiki namba moja wa aina ya siasa za Paul Makonda. wakati kundi kubwa likiwa halimwelewi Makonda mimi nilikuwa namwelewa sana,

Wananchi wengi tuna matatizo makubwa ya kuwapenda wana siasa waongo waongo ( watoa ahadi ) badala ya wana siasa watatuzi wa matatizo, wanaofikiri kuleta mbadala wa mambo,na wanaozungumza ukweli mbele za watu,nawana siasa wasio na vinyongo.

Paul Makonda ana mtindo wa pekee sana wa kisiasa, hataki kuzungumzia pembeni pembeni, huwa ana penda kuyabwaga mambo wazi, na si mwenevu, hanaga visasi, na ni mzungumzaji mzuri sana anayewavutia wengi sana kwa mitindo yake ya uzungumzaji,

Comrade Ally Maftah nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu makonda naweza kusema ndio SUPER STAR POLITICIAL FROM 2010 -UP TO NOW

Ndimi
Comrade Ally Maftah
Huko CCM uchawa umerasimishwa kabisa
 
Unajua wanasiasa ? Stupid . Si huyu Makonda alipigwa Chini ubunge Tena akiwa na back up ya Magufuli
 
MWANASIASA KIJANA ALIYEFANYA MAMBO MAKUBWA NA YA MAANA 2010 - 2024 NI PAUL MAKONDA

Na Comrade Ally Maftah.

Nikiwatathmini wana siasa vijana walio fanya kazi ya siasa yenye maana zaidi kati ya miaka ambayo macho yangu yakiwa yanaweza kutazama na ubongo kufikiri sawa sawa namwona Paul Makonda.

Mimi ni shabiki namba moja wa aina ya siasa za Paul Makonda. wakati kundi kubwa likiwa halimwelewi Makonda mimi nilikuwa namwelewa sana,

Wananchi wengi tuna matatizo makubwa ya kuwapenda wana siasa waongo waongo ( watoa ahadi ) badala ya wana siasa watatuzi wa matatizo, wanaofikiri kuleta mbadala wa mambo,na wanaozungumza ukweli mbele za watu,nawana siasa wasio na vinyongo.

Paul Makonda ana mtindo wa pekee sana wa kisiasa, hataki kuzungumzia pembeni pembeni, huwa ana penda kuyabwaga mambo wazi, na si mwenevu, hanaga visasi, na ni mzungumzaji mzuri sana anayewavutia wengi sana kwa mitindo yake ya uzungumzaji,

Comrade Ally Maftah nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu makonda naweza kusema ndio SUPER STAR POLITICIAL FROM 2010 -UP TO NOW

Ndimi
Comrade Ally Maftah
Mara moja moja andika kuwasifia wazazi wako walio kulea,acha kujipendekeza kwa wanaume wenzako kisa njaaa,
 
Ccm imejaa machawa na walamba viatu, wanafki na waongo waongo kwa kila jambo wanalo ongea na ndio maana karibu wahalifu wote wamejificha kirahisi sana ndani yake akiwemo makonda na sabaya, mwisho wa kujipendekeza ni mimba kama sio kifo, chama cha mafisadi
 
MWANASIASA KIJANA ALIYEFANYA MAMBO MAKUBWA NA YA MAANA 2010 - 2024 NI PAUL MAKONDA

Na Comrade Ally Maftah.

Nikiwatathmini wana siasa vijana walio fanya kazi ya siasa yenye maana zaidi kati ya miaka ambayo macho yangu yakiwa yanaweza kutazama na ubongo kufikiri sawa sawa namwona Paul Makonda.

Mimi ni shabiki namba moja wa aina ya siasa za Paul Makonda. wakati kundi kubwa likiwa halimwelewi Makonda mimi nilikuwa namwelewa sana,

Wananchi wengi tuna matatizo makubwa ya kuwapenda wana siasa waongo waongo ( watoa ahadi ) badala ya wana siasa watatuzi wa matatizo, wanaofikiri kuleta mbadala wa mambo,na wanaozungumza ukweli mbele za watu,nawana siasa wasio na vinyongo.

Paul Makonda ana mtindo wa pekee sana wa kisiasa, hataki kuzungumzia pembeni pembeni, huwa ana penda kuyabwaga mambo wazi, na si mwenevu, hanaga visasi, na ni mzungumzaji mzuri sana anayewavutia wengi sana kwa mitindo yake ya uzungumzaji,

Comrade Ally Maftah nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu makonda naweza kusema ndio SUPER STAR POLITICIAL FROM 2010 -UP TO NOW

Ndimi
Comrade Ally Maftah
Je na kwenye other dark side of his life je unayajua aliyoyafanya kwa mfano udhalilishaji kwa wazee and the like ?!!
Ila pia kama ametubu nitamuunga mkono 🙏🙏
 
MWANASIASA KIJANA ALIYEFANYA MAMBO MAKUBWA NA YA MAANA 2010 - 2024 NI PAUL MAKONDA

Na Comrade Ally Maftah

Nikiwatathmini wana siasa vijana walio fanya kazi ya siasa yenye maana zaidi kati ya miaka ambayo macho yangu yakiwa yanaweza kutazama na ubongo kufikiri sawa sawa namwona Paul Makonda.

Mimi ni shabiki namba moja wa aina ya siasa za Paul Makonda. wakati kundi kubwa likiwa halimwelewi Makonda mimi nilikuwa namwelewa sana,

Wananchi wengi tuna matatizo makubwa ya kuwapenda wana siasa waongo waongo ( watoa ahadi ) badala ya wana siasa watatuzi wa matatizo, wanaofikiri kuleta mbadala wa mambo,na wanaozungumza ukweli mbele za watu,nawana siasa wasio na vinyongo.

Paul Makonda ana mtindo wa pekee sana wa kisiasa, hataki kuzungumzia pembeni pembeni, huwa ana penda kuyabwaga mambo wazi, na si mwenevu, hanaga visasi, na ni mzungumzaji mzuri sana anayewavutia wengi sana kwa mitindo yake ya uzungumzaji,

Comrade Ally Maftah nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu makonda naweza kusema ndio SUPER STAR POLITICIAL FROM 2010 -UP TO NOW

Ndimi
Comrade Ally Maftah
🚮
 
Comrade naendelea kushauri aina ya staili ya nywele ulochagua inakudhalilisha na kujifedhehesha mwenyewe, umekua mkubwa sasa achana na mambo ya kitoto.🐒

Mvi ni Jambo la kawaida, si unaona ata kiongozi apo ndevu zimejaa mvii 🐒

makomrade wanaokufahamu wanakukwepa usiwasogelee au usiwe karibu nao, ni kama unawaaibisha au kuwadhalilisha vile

Jana nimekuangalia sana nikasema ntamwambia ila sikupata nafasi na tayari nimerejea Dodoma muda huu 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
MWANASIASA KIJANA ALIYEFANYA MAMBO MAKUBWA NA YA MAANA 2010 - 2024 NI PAUL MAKONDA

Na Comrade Ally Maftah

Nikiwatathmini wana siasa vijana walio fanya kazi ya siasa yenye maana zaidi kati ya miaka ambayo macho yangu yakiwa yanaweza kutazama na ubongo kufikiri sawa sawa namwona Paul Makonda.

Mimi ni shabiki namba moja wa aina ya siasa za Paul Makonda. wakati kundi kubwa likiwa halimwelewi Makonda mimi nilikuwa namwelewa sana,

Wananchi wengi tuna matatizo makubwa ya kuwapenda wana siasa waongo waongo ( watoa ahadi ) badala ya wana siasa watatuzi wa matatizo, wanaofikiri kuleta mbadala wa mambo,na wanaozungumza ukweli mbele za watu,nawana siasa wasio na vinyongo.

Paul Makonda ana mtindo wa pekee sana wa kisiasa, hataki kuzungumzia pembeni pembeni, huwa ana penda kuyabwaga mambo wazi, na si mwenevu, hanaga visasi, na ni mzungumzaji mzuri sana anayewavutia wengi sana kwa mitindo yake ya uzungumzaji,

Comrade Ally Maftah nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu makonda naweza kusema ndio SUPER STAR POLITICIAL FROM 2010 -UP TO NOW

Ndimi
Comrade Ally Maftah
Maku wewe mtakuja kuinamishwa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Maftah ndiyo umemshikia zamu Lucas mwashambwa kipindi hiki anaugua kipindupindu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom