Mkuu the Boss.Hujui kama kafariki?
Mama yake mzazi ndiye aliyefariki siku kadhaa kabla ya Sensa. Yeye kafariki lini?Hujui kama kafariki?
Sorry nili mix na Dr Buberwa wa Dental formulaMkuu the Boss.
Labda kama kafa kisiasa huyo siyo mtu wa kufa na kifo chake kikapita bila kujulikana, kumbuka amelitumikia Taifa hili kwa utumishi uliotukuka.
Pale Moro Town nini?Duuuh Mdau wa Vanilla Lodge, longtime kitambo sana
Chimbo la enzi hizoPale Moro Town nini?
Ahahahahah! Nalijua sana hilo mwana!!!Chimbo la enzi hizo
Tatizo lake ilikuwa parking ibejibana sanaAhahahahah! Nalijua sana hilo mwana!!!
Vp unataka mama amteueeeToka aliposhindwa vibaya kwenye kura za maoni kwenye uchaguzi wa 2020 jimbo la Nkege hajawahi kuonekana tena sijui kajichimbia wapi?
Ikimpendeza Mama afanye hivyo, ni mchumi mbobevu na mwanadiplomasia mahili, nakumbuka akiwa waziri wa Afrika mashariki awamu ya nne alifanya kazi nzuri sana na alionesha uzalendo wa kiwango cha juu kwa kusimamia maslahi ya nchi.Vp unataka mama amteueee
Ova
Kwa hiyo hli nalo ni Great Thinking? Any way ni unstahiki na maoni yakoToka aliposhindwa vibaya kwenye kura za maoni kwenye uchaguzi wa 2020 jimbo la Nkege hajawahi kuonekana tena sijui kajichimbia wapi?
Mtu umezeeka hivyo bado unaomba uteuzi?....hovyo kabisa.Ikimpendeza Mama afanye hivyo, ni mchumi mbobevu na mwanadiplomasia mahili, nakumbuka akiwa waziri wa Afrika mashariki awamu ya nne alifanya kazi nzuri sana na alionesha uzalendo wa kiwango cha juu kwa kusimamia maslahi ya nchi.
sioni mawazo mapya kutoka kwa yeyote na hasa kwa vijana ambao hawajitambuiMtu umezeeka hivyo bado unaomba uteuzi?....hovyo kabisa.
Huwezi kufanya shughuli zako?
Vijana wapewe nafasi...walete mawazo mapya.
Vitu vya kijinga kabisa.
Kwa hiyo kuporomosha matusi ndiyo mawazo mapya,kwani ukitumia lugha yenye staha utapungukiwa na nini mkuu?Mtu umezeeka hivyo bado unaomba uteuzi?....hovyo kabisa.
Huwezi kufanya shughuli zako?
Vijana wapewe nafasi...walete mawazo mapya.
Vitu vya kijinga kabisa.