Hivi ndivyo Mbowe alivyotinga kwenye Msiba wa Lowassa, aingia akiwa amevaa kombati

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
115,309
212,149
Katika watu wa Tanzania waliobarikiwa kuwa na mvuto wa kisiasa na nyota kwenye Jamii, Freeman Mbowe ni miongoni mwao.

Huyu Jamaa anatisha. Kwenye Msiba wa Lowassa wamefika viongozi wengi mno wakiwemo hata viongozi wa kitaifa wa sasa na wastaafu lakini alipoingia Freeman Mbowe kuna kishindo kikuu kiliingia kwenye msiba huo (nilikuwepo eneo la tukio)

Mbowe alipofika tu wale wote waliokuwa wanalia kwa Uchungu walinyamaza kama vile walipewa ishara fulanii ya kupisha Ujio wa Mbowe, hili jambo kwangu ni geni, Bashasha za wafiwa na Wageni wengine ziliongezeka mara dufu. Japo ni Msiba lakini watu walipata matumaini fulani hivi. Nikajiuliza huyu Raia ana kitu gani hasa kiasi cha kupooza mambo kwenye msiba huu?

Nimejifunza kwamba katika dunia hii usithubutu kushindana na aliyejaaliwa

Screenshot_2024-02-11-23-40-22-1.png
Screenshot_2024-02-11-23-41-03-1.png
Screenshot_2024-02-11-23-42-06-1.png
 
Katika watu wa Tanzania waliobarikiwa kuwa na mvuto wa kisiasa na nyota kwenye Jamii , Freeman Mbowe ni miongoni mwao .

Huyu Jamaa anatisha ! Kwenye Msiba wa Lowassa wamefika viongozi wengi mno , wakiwemo hata viongozi wa kitaifa wa sasa na wastaafu , lakini alipoingia Freeman Mbowe kuna kishindo kikuu kiliingia kwenye msiba huo , (nilikuwepo eneo la tukio)

Mbowe alipofika tu wale wote waliokuwa wanalia kwa Uchungu walinyamaza , kama vile walipewa ishara fulanii ya kupisha Ujio wa Mbowe , hili jambo kwangu ni geni , Bashasha za wafiwa na Wageni wengine ziliongezeka mara dufu ! Japo ni Msiba lakini watu walipata matumaini fulani hivi , Nikajiuliza huyu Raia ana kitu gani hasa kiasi cha kupooza mambo kwenye msiba hiu ?

Nimejifunza kwamba katika dunia hii usithubutu kushindana na aliyejaaliwa

View attachment 2901283View attachment 2901284View attachment 2901285

Ha ha. Picha hii kama inasema....
screenshot_2024-02-11-23-42-06-1-png.2901285Mbowe: 'We Mzee wa Tembo, nimeona dongo lako la TShs. 2.7 Billion Ha ha Ha

Kinana: Wanajadiliana, sisi tunakula Asali Directly kwenye Buyu. Ha Ha Ha Ha Ha
Freeman hana ujinga huo
 
Katika watu wa Tanzania waliobarikiwa kuwa na mvuto wa kisiasa na nyota kwenye Jamii , Freeman Mbowe ni miongoni mwao .

Huyu Jamaa anatisha ! Kwenye Msiba wa Lowassa wamefika viongozi wengi mno , wakiwemo hata viongozi wa kitaifa wa sasa na wastaafu , lakini alipoingia Freeman Mbowe kuna kishindo kikuu kiliingia kwenye msiba huo , (nilikuwepo eneo la tukio)

Mbowe alipofika tu wale wote waliokuwa wanalia kwa Uchungu walinyamaza , kama vile walipewa ishara fulanii ya kupisha Ujio wa Mbowe , hili jambo kwangu ni geni , Bashasha za wafiwa na Wageni wengine ziliongezeka mara dufu ! Japo ni Msiba lakini watu walipata matumaini fulani hivi , Nikajiuliza huyu Raia ana kitu gani hasa kiasi cha kupooza mambo kwenye msiba huu ?

Nimejifunza kwamba katika dunia hii usithubutu kushindana na aliyejaaliwa

View attachment 2901283View attachment 2901284View attachment 2901285
Mwamba mwenyewe kiongozi wetu
 
Angevaa zile nyeusi ingekaa poa zaidi, au ile ni siku ya maazishi?. Ila nadhani maazishi avae kaunda tu.
Unaona mafikirio ya CHADEMA. Na...

Sera za Matusi?


Wanafikiri kila pahali ni Jukwaa la Siasa.

Ona haya maneno!

Mbowe alipofika tu wale wote waliokuwa wanalia kwa Uchungu walinyamaza , kama vile walipewa ishara fulanii ya kupisha Ujio wa Mbowe ,
????????
 
Maoni yako sio Uhalisia wa Mambo.

Wacha wivu. Wewe ni Msaga sumu, na ni mchochezi tu.

Hiyo aibu uliyoipata kwa kuandika upumbavu wako huu inakusuta

Ati waliolia kwa uchungu walinyamaza. Kenge we. Kwanini unakosa adabu na heshima kwa Familia ya waliofiwa?

You got nothing on me B 😌
Hoja hupingwa kwa hoja
Screenshot_2024-02-11-23-40-22-1.png
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom