Rostam Aziz kuhusu Lowassa

FbUser

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
430
623
“Nimeishi na Edward Lowassa nyumba moja Dodoma kwa miaka 15. Namfahamu kuliko wengi. Alikuwa Kiongozi mwenye nidhamu ya hali ya juu, mwenye akili tulivu, mcha Mungu wa dhati, mnyenyekevu na mwenye kauli thabiti.

Nidhamu ndiyo jambo linalotofautisha umahiri wa Edward na wengine wengi. Taifa limepoteza kiongozi mzalendo mwenye mapenzi ya kweli kwa nchi yake.”

Rostam Azizi
Rafiki wa Edward Lowassa
12 Februari, 2024
 
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Ndio kawaida
 
Ndege wanaofanana huruka pamoja!
Nimekumbuka ile 2007 List of Shame iliyotajwa pale Mwembeyanga Temeke!
 
Back
Top Bottom