Mukuu123
JF-Expert Member
- May 7, 2019
- 319
- 1,221
Yani mtu siyo mtumishi wa umma na hana chochote kile serikalini lakini anatembea na msafara wa magari ya serikali na watu wamekaa kimya tuu.
Kwa nguvu alionayo uyu bwana nahisi anaweza kwenda Lugalo pale akachukua kifaru halafu akaingia nayo road and nobody can question him, upi mpaka kati ya chama na serikali Mbona nachanganyikiwa apa.