Habari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!
Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?