Mkutano wa halmashauri kuu CCM, ni nani analipa gharama?

Happy nation

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
679
591
Mimi nimeshidwa kuelewa hivi huo mkutano unaofanyika wa ki chama ndani ya ikulu, nani analipa gharama ni CCM au Ikulu?

Hii ni mara ya kwanza naona, hivi sheria inasemaje kuhusu kutumika mali ya serikali katika masuala ya kichama? Naombeni mnifahamishe.
 
Kwani Miaka yote gharama ilikuwa inalipwa nani?
 
Umeuliza pumba wewe.Hiyo ni kodi yetu uwe ccm au Chadema hii ni awamu ya tano tu.Mguu sawa.
 
Tuwekeeni na bendera ya ccm pale basi! Mbona zinaonekana mbili tu au hiyo ya chama ipo kwa ndani?
Kimsingi ikulu haina chama kwani ni ofisi huru inayotakiwa kuhudumia raia wote bila kujali itikadi zao. Na kwa busara ya kawaida vikao vya vyama vinatakiwa kufanyika kwenye ofisi za vyama vyao na ndio lengo la mwasisi wa ccm kuujenga ukumbi wa kizota dodoma. Isitoshe halo DAR kuna ofisi ndogo jirani ni kwanini asifanyie vikao hapo? Au chama nacho kinabana matumizi?
 
Hii si sawa hata kidogo...

Ikulu ni ofisi ya umma na sio ya chama.

Huwezi kusema kwasababu CCM ndio inaongoza dola basi wakaitumia Ofisi au kumbi au facilities za ikulu kirahisi rahisi namna hii.

Kama nchi ndio maana tunadharauliwa kwa mambo mengi.
 
Mimi sioni tatizo hapo,kwanza tunapunguza matumizi yasiyo ya lazima kwa kufanyia mkutano Ikulu.Halafu tusisahau kwamba CCM ndiyo yenye dhamana ya kuiongoza nchi kwa kutumia Serikali ya Jamhuri ya Muungano.The Government is just a tool!Ni karai au jembe tu in other words.Hii ina maana kwamba as long as CCM is in power,inayo mamlaka juu ya mali zilizoko chini ya serikali ya Muungano wa Tanzania.

Niseme hivii,mamlaka hii watakuwa nayo ACT Wazalendo,CHADEMA na hata CUF watakapopewa dhamana ya kuiongoza serikali na kuisimamia,kwa hiyo hakuna haja ya malumbano.Kila Chama kisubiri zamu yake.
Mimi nimeshidwa kuelewa hivi huo mkutano unaofanyika wa ki chama ndani ya ikulu, nani analipa gharama ni CCM au Ikulu?

Hii ni mara ya kwanza naona, hivi sheria inasemaje kuhusu kutumika mali ya serikali katika masuala ya kichama? Naombeni mnifahamishe.
Mimi nimeshidwa kuelewa hivi huo mkutano unaofanyika wa ki chama ndani ya ikulu, nani analipa gharama ni CCM au Ikulu?

Hii ni mara ya kwanza naona, hivi sheria inasemaje kuhusu kutumika mali ya serikali katika masuala ya kichama? Naombeni mnifahamishe.
 
Kisheria itakuwa haiwakabi, lakini pia vitu vingine ni symbol tuu, chama ndio serikali na tz tunajua kabisa chama ndio polisi, jeshi, ma tume ya uchaguzi.

Hata sijamind sanaa, kwa sababu najua hata wangefanyia mbezi beach park lazima kuna resoueces za serikali zingetumika tu.
Mbona huku halmashauri hatuoni wakifanya vikao vya CCM
 
Back
Top Bottom