Mzee Lowassa amesubiri Dr. Nchimbi awe Katibu Mkuu CCM ndipo aondoke duniani akiwa na amani kwamba waliostahili wamestahimilishwa

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Dr. Nchimbi alikuwa mfuasi kindakindaki wa Lowasa na angeweza kuwa Waziri Mkuu. Alipigwa Majungu na kukataliwa kisa tu anamkubali Lowasa. Wakina Kikwete walimchukia Nchimbi wakimwona kama si mzalendo wakiamini adui yao lazima awe adui yako

Maisha yakazunguka mwisho nchimbi anateuliwa kuwa katibu mkuu wa chama. Nafasi ambayo awali Kinana aliitumia kumwadhibu Lowasa. Wote hawa wakati wanamwadhibu Lowasa waliamini wao wataweka watu wao wanaoweza kilisogeza gurudumu la kazi za ccm mbele.

CCM imeparaganyika after Lowasa imebidi wakawatafute wanafunzi wa Lowasa wawape kazi yakutumia mbinu za nguli huyu kujisahihisha.
Nchimbi kuwa KM imemfariji sana Lowasa na amelala kwa amani kama shujaaaa.

Hoja ni Je, JK na familia yake atashiriki msiba huu? Je, JK amejifunza nn ugomvi wa Uhuru na Ruto Kenya?
 
Lowasa pamoja na sifa zite tusisahau jambo la muhimu zaidi kwamba ni mojawapo ya watu walioliibia hili taifa na kutumia rasilimali za nchi kwa maslahi yake binafsi.

Lowasa ni mojawapo ya wezi wa mali za umma. Lowasa ni mtu alipaswa kufia jela sio uraiani. Watanzania tuna kasumba ya kufisia wezi na majambazi.

Anyway, roho yake ipate kinachostahili huko jehanamu kama ipo.
 
Lowasa ni mojawapo ya wezi wa mali za umma. Lowasa ni mtu alipaswa kufia jela sio uraiani. Watanzania tuna kadumba ya kufisia wezi na majambazi.

Umeshapanic 🐼
 
In politics nothing happens out of mere coincidence,
every things are normal well planned, organised and executed to achieve a certain specific political objectives....

And in politics there is no permanent enemy..

JK na familia yake watashiriki kuomboleza na kumzika family friend wao EL vizuri tu bila tashwishwi yeyote, regadless ya maneno ya watu...

by the way JK ni mtu na nusu hana cha kujifunza kwa uhuru na ruto, jamaa anasonga mbele bila mbambamba...
 
Lowasa pamoja na sifa zite tusisahau jambo la muhimu zaidi kwamba ni mojawapo ya watu walioliibia hili taifa na kutumia rasilimali za nchi kwa maslahi yake binafsi.

Lowasa ni mojawapo ya wezi wa mali za umma. Lowasa ni mtu alipaswa kufia jela sio uraiani. Watanzania tuna kadumba ya kufisia wezi na majambazi.

Anyway, roho yake ipate kinachostahili huko jehanamu kama ipo.
Hebu wamsaidie Wanajamii Forums Kwa kutoa mifano miwili tu ya Wizi alioufanya Marehemu, Ili Kuweka kumbukumbu sawa!
 
Lowasa pamoja na sifa zite tusisahau jambo la muhimu zaidi kwamba ni mojawapo ya watu walioliibia hili taifa na kutumia rasilimali za nchi kwa maslahi yake binafsi.

Lowasa ni mojawapo ya wezi wa mali za umma. Lowasa ni mtu alipaswa kufia jela sio uraiani. Watanzania tuna kasumba ya kufisia wezi na majambazi.

Anyway, roho yake ipate kinachostahili huko jehanamu kama ipo.
Hoja nzuri sana. Hakika!
 
Kiongozi una ushahidi.. na kama unao mbona hukwenda mahakamani..
 
Back
Top Bottom