Kinachomtofautisha Makonda na watendaji wengine ni mkweli sio mnafiki

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,138
7,713
Ni msema ukweli huwa hamung'unyi maneno. Kwake yeye nyeusi ni nyeusi na nyepe ni nyeupe sio nyeusi.......hicho ndicho kinacho wafanya wananchi wamuamini na kumlilia kero zao wakiamini zitapata ufumbuzi. Hicho ndicho kinamtofautisha na watendaji wengine.

Makonda ni mtu hapendi kuona mwananchi anaonewa, ananyanyaswa ama ana nyimwa haki haki. Ni mtu anaye penda Haki.

Makonda amekuwa sauti ya wanyonge, amekuwa mtetezi wa walio onewa au kuminywa.
 
Back
Top Bottom