Makonda, ukimalizana na GSM, kaisambaratishe kampuni ya WASAFI ya Diamond, ulikuwa mlezi wao, ulipokosa madaraka wakakufukuza

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,662
Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.

Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake ya siri ya watu aliopanga kuwaonyesha yeye ni nani mpaka wakimbie mji
 
Kwani akiwasamehe atapoteza nini.??

Labda waliompora kageto kake ndo awaonyeshe kuwa wa mbili havai moja na kuteleza si kuanguka na kwamba maisha ni safari, kuna kupanda na kushuka.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.

Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake ya siri ya watu aliopanga kuwaonyesha yeye ni nani mpaka wakimbie mji
Tenda wema uende zako usingoje shukrani,
Uungwana ni kulipa wema kwa ubaya ulofanyiwa, vinginevyo ni ushamba 🐒
 
Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.

Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake ya siri ya watu aliopanga kuwaonyesha yeye ni nani mpaka wakimbie mji
KIONGOZI UNATAKIWA UWE MUADILIFU

Mtume Muhammad alisema: "Enyi Watu! Mungu wenu ni mmoja na babu mkuu wenu (Adam) ni mmoja. Mwarabu sio bora kuliko asiye Mwarabu na asiye Mwarabu sio bora kuliko Mwarabu, na mtu mwekundu (yaani weupe wa asili ya Uesia) sio bora kuliko mtu mweusi (yaani weusi wa asili ya Uafrika) na mtu mweusi sio bora kuliko mtu mwekundu,[3] isipokuwa katika uchaji Mungu."[4]
 
Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.

Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake ya siri ya watu aliopanga kuwaonyesha yeye ni nani mpaka wakimbie mji
Hivi huyo Makonda wenu ana nguvu ipi ya kuwashughulikia GSM? Hivi unaifahamu GSM na mizizi yake wewe?

Kumbuka tu ndani ya ccm ya sasa, huyo Makonda wenu hana tofauti na mshereheshaji (MC).
 
Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.

Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake ya siri ya watu aliopanga kuwaonyesha yeye ni nani mpaka wakimbie mji
Huna akili. Acha visasi wewe mchonganishi
 
Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.

Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake ya siri ya watu aliopanga kuwaonyesha yeye ni nani mpaka wakimbie mji
Fita imefika pazuri
 
Wajinga mpo wengi sana CCM
 
Naona Chiembe haukutegemea kabisa Makonda awe katibu mwenez wa, CCM. Ulimponda Sana. Sasa, umeona Makonda, ananawiri umeamua kumchafua. Tulia, dawa iwaingie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom