Maisha ya Lowassa ni funzo kwa midomo michafu ya wanasiasa wa Tanzania

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,949
Lowassa kaondoka. kaenda zake akitupa mda wa kuangalia alimopita
Ameonewa sana na kaonea na kila mtu
Tulimfitini ili tupate tulichotaka wakati tulipokitaka
lakini yeye alibaki yule yule wa kutafuta alichokusudia kupata mwisho wa siku sidhani kama alipata alichokusudia kupata
 
Alichotaka ni irais na haulkuwa rahisi...
 
Lowassa dini ilimkaa sana,ndo maana aliona kumtolea lugha chafu mwanasiasa mwenzie sio sahihi hata kidogo.Rejea harakati zake za kisiasa akiwa ccm na Chadema,pamoja na matusi mazito ya uzalilishaji kwake akiwa Chadema,Bado hakutumia kinywa chake vibaya au kumuumiza mwanasiasa mwenzake Kwa matamshi ya udhalilishaji.
Pumzika baba,
 
Tunahitaji wapinzani wa hivi sio hawa akina Mbowe wanaoangalia biashara zao
Kila mtu ana namna yake usitake mtu awe mwingine? Kwanini wewe usiwe kamahuyo unayempenda?
Tuheshimu watu tuache ushamba kushabikia watu wa nje hata wakiwa WAHUNI! Huyu mapema ni tajiri mhuni kwenye siasa zisizo na adabu
 
Natamani kama aliacha kitabu chochote kama kumbukumbu ya maisha yake,
 
Kila mtu ana namna yake usitake mtu awe mwingine? Kwanini wewe usiwe kamahuyo unayempenda?
Tuheshimu watu tuache ushamba kushabikia watu wa nje hata wakiwa WAHUNI! Huyu mapema ni tajiri mhuni kwenye siasa zisizo na adabu
Ni kweli na pia sioni tofauti yake na hawa wa hapa kwetu
 
Back
Top Bottom