CCM class of 2015 (Wagombea Urais) tumepoteza top 3 yote

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,484
20,437
Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe.
Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
 
Inatakiwa sasa marais wawe na umri chini ya miaka 40.
1707580353640.png

Huduma za afya kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi ni mbovu nchini Tanzania, hivyo umri wa juu kabisa kwa mtia nia kuwa mgombea urais mwenye afya nzuri ya mwili na akili mwisho miaka 50.

Mgombea atakiwe kupitia ukaguzi wa afya kama vile mchezaji Professional anapotakiwa kusajiliwa.

Hii ni muhimu na zoezi liwe la wazi mbele ya umma kupimwa magonjwa yasiyo ambukizi kama pressure, pumzi ya kukimbia ktk tread mill, kuzungumza lugha ngeni n.k

Nawasilisha hoja.

The program presented to Cuban parliamentarians proposes reducing the consumption of tobacco, alcohol, and unhealthy diets; reducing physical inactivity, and promoting preventive clinical care for cardiovascular diseases and diabetes, and the prevention and treatment of cancer. Soure: Cuba implements a strategy to prevent non-communicable diseases
 
Inatakiwa sasa marais wawe na umri chini ya miaka 40.
View attachment 2899887
Huduma za afya kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi ni mbovu nchini Tanzania, hivyo umri wa juu kabisa kwa mtia nia kuwa mgombea urais mwenye afya nzuri ya mwili na akili mwisho miaka 50.

Mgombea atakiwe kupitia ukaguzi wa afya kama vile mchezaji Professional anapitakiwa kusajiliwa. Hii ni muhimu na zoezi liwe la wazi mbele ya umma kupimwa magonjwa yasiyo ambukizi kama pressure, pumzi ya kukimbia ktk tread mill, kuzungumza lugha ngeni n.k

Nawasilisha hoja.
China ya miaka 20 hawafi?
 
Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe.
Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
That means; watu waachane na conspiracies za kijinga - Mungu amewakataa wote!
 
Inatakiwa sasa marais wawe na umri chini ya miaka 40.
View attachment 2899887
Huduma za afya kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi ni mbovu nchini Tanzania, hivyo umri wa juu kabisa kwa mtia nia kuwa mgombea urais mwenye afya nzuri ya mwili na akili mwisho miaka 50.

Mgombea atakiwe kupitia ukaguzi wa afya kama vile mchezaji Professional anapitakiwa kusajiliwa. Hii ni muhimu na zoezi liwe la wazi mbele ya umma kupimwa magonjwa yasiyo ambukizi kama pressure, pumzi ya kukimbia ktk tread mill, kuzungumza lugha ngeni n.k

Nawasilisha hoja.
Yule bibi mwaka kesho atatimiza miaka 65,akipewa uraisi kuelekea 2030 hapo katikati tutakula pilau Zanzibar.
 
Back
Top Bottom