CHADEMA kuondokewa na mgombea urais Lowassa na mgombea mwenza wake Juma Duni Haji kunaashiria nini?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
27,366
2,000
Wakuu chadema Mgombea uraisi na mgombea mwenza wao 2015 wote wameondoka chadema .Alianza Juma Duni Haji mgombea Mwenza sasa mgombea uraisi kamalizia . Wataalamu wa political science mtusaidie hili ni nini? wenyewe chadema wanasema hakuna kitu kuondoka kwao si kitu
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,359
2,000
Wakuu chadema Mgombea uraisi na mgombea mwenza wao 2015 wote wameondoka chadema .Alianza Juma Duni Haji mgombea Mwenza sasa mgombea uraisi kamalizia . Wataalamu wa political science mtusaidie hili ni nini? Mwenyewe chadema wanasema hakuna kitu kuondoka kwao si kitu
Hawajawahi kujipanga kugombea Urais ndio maana waliwatafuta Mamuluki/wapiganaji wa kuazima ili kuwasaidia, mamuluki wamerudi kwao.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,803
2,000
Wakuu chadema Mgombea uraisi na mgombea mwenza wao 2015 wote wameondoka chadema .Alianza Juma Duni Haji mgombea Mwenza sasa mgombea uraisi kamalizia . Wataalamu wa political science mtusaidie hili ni nini? Mwenyewe chadema wanasema hakuna kitu kuondoka kwao si kitu
Yehodaya. Pamoja na kuifanyia Cdm umafia wa kutumia rasilimali za serikali.
Na vyombo vya Dola na vya maamuzi bado hamridhiki ?!

Lowassa kapata mwaliko, na kafanya ziara Ikulu mwenyewe , bila kushirikisha chama na wananchi walioumizwa kwa ajili yake. Kosa la Cdm ni nini hapo ?!.
Vyama hivi visivyo na dola huwezi kumshurutisha mtu kubaki.

Na hata huko CCM hajaenda kwa utashi wake. Bali kuna mengi yamepita chini ya Capet ili kudhoofisha upinzani na kulinda maslahi yake. Kama ulimsikia bosi aliuliza "kwanini umeteseka huko muda wote huo ?!"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
5,310
2,000
Ukiona hivyo ujue wamechoka kuokoteza makapi kutoka mtaa wa Lumumba. Uchaguzi wa mwakani mkae mkao wa kula maana yule mnadhimu wao kama kweli atagombea, huenda akawavuruga sana.

Nimeona tu mlivyochanganyikiwa siku chache zilizopita baada ya yeye tu kufanya mikutano michache na mahojiano na vyombo vya habari vya kimataifa. Mlipoteana hadi mlikua mnatia huruma. Mlijitahidi kujibizana nae lakini kiukweli mlishindwa.
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,512
2,000
Yehodaya. Pamoja na kuifanyia Cdm umafia wa kutumia rasilimali za serikali.
Na vyombo vya Dola na vya maamuzi bado hamridhiki ?!

Lowassa kapata mwaliko, na kafanya ziara Ikulu mwenyewe , bila kushirikisha chama na wananchi walioumizwa kwa ajili yake. Kosa la Cdm ni nini hapo ?!.
Vyama hivi visivyo na dola huwezi kumshurutisha mtu kubaki.

Na hata huko CCM hajaenda kwa utashi wake. Bali kuna mengi yamepita chini ya Capet ili kudhoofisha upinzani na kulinda maslahi yake. Kama ulimsikia bosi aliuliza "kwanini umeteseka huko muda wote huo ?!"

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mengi hebu taja japo matatu aliyofanyiwa hadi kaamua kurudi CCM?

Je ninyi hamjiangalii mmemkosea nini hadi kaamua kuondoka? Acheni ujinga tamaa ya madaraka na ufisadi wa ruzuku, na upendeleo itawamaliza.

Angalia viti maalimu wengi wenu wachaga na ndugu za viongozi wa chadema. Si ni ulofa huu. Hata mke wa Lowassa mlimteua viti maalum japo alikataa
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,022
2,000
Wakuu chadema Mgombea uraisi na mgombea mwenza wao 2015 wote wameondoka chadema .Alianza Juma Duni Haji mgombea Mwenza sasa mgombea uraisi kamalizia . Wataalamu wa political science mtusaidie hili ni nini? wenyewe chadema wanasema hakuna kitu kuondoka kwao si kitu

Wamemaliza Kazi waliyotumwa,unadhani angesimama Dr slaa 2015 Leo ungepata hata hio buku saba,
 
JAY MTAALAM

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
1,551
2,000
Ushajiuliza itakuwaje endapo upinzani halisi ukiacha kusimamisha mgombea?
Je kama wakimkaribisha Mh. Zitto Kabwe agombee akisindikizana na Sumaye?
Hizi siasa bwana..watakaa wajipange sis tunasubiria Sera..alafu kupiga kura
 
Msengapavi

JF-Expert Member
Oct 23, 2008
8,449
2,000
Wakuu chadema Mgombea uraisi na mgombea mwenza wao 2015 wote wameondoka chadema .Alianza Juma Duni Haji mgombea Mwenza sasa mgombea uraisi kamalizia . Wataalamu wa political science mtusaidie hili ni nini? wenyewe chadema wanasema hakuna kitu kuondoka kwao si kitu
Kwanza kabisa cha kufahamu ni kuwa ule ulikuwa ni mkakati wa ukawa wa kupambana na CCM, ENL hajawahi kuwa mpinzani na Duni hajawahi kuwa Chadema. Kuondoka kwa ENL kunaipa Chadema na upinzani fursa ya kujipanga vema zaidi. Zinagtia: 1 Yohana 2:19.
 
mazojms

JF-Expert Member
Sep 22, 2017
1,366
2,000
Wakuu chadema Mgombea uraisi na mgombea mwenza wao 2015 wote wameondoka chadema .Alianza Juma Duni Haji mgombea Mwenza sasa mgombea uraisi kamalizia . Wataalamu wa political science mtusaidie hili ni nini? wenyewe chadema wanasema hakuna kitu kuondoka kwao si kitu
Mahaba huficha madhaifu,, hili ni jambo la msingi sana ambalo Ukawa wanatakiw wajiulize lakini hawatofanya hivyo... na utatukanwa sana kuleta huu uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mafutamingi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,357
2,000
Wakuu chadema Mgombea uraisi na mgombea mwenza wao 2015 wote wameondoka chadema .Alianza Juma Duni Haji mgombea Mwenza sasa mgombea uraisi kamalizia . Wataalamu wa political science mtusaidie hili ni nini? wenyewe chadema wanasema hakuna kitu kuondoka kwao si kitu
Tundu Lissu TOSHA!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom