Kuna nini katika tarehe 17 February?

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye atazikwa tarehe 17/02/2024. Na wakati huo msafarawa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Paul Makonda umepata ajali time 17:7 huku magari 7 yakibondeka na watu 7 kujeruhiwa. Wanajimu tupeni maneno hapa.
 
Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/2/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye atazikwa tarehe 17/02/2024. Na wakati huo msafarawa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Paul Makonda umepata ajali time 17:7 huku magari 7 yakibondeka na watu 7 kujeruhiwa. Wanajimu tupeni maneno hapa.
Labda nawe hili bandiko lako ungeandika saa 17:17 ingeleta maana zaidi
 
Kwamba Magu alifariki February kisha wakaja kutangaza msiba wake March ee?
Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/2/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye atazikwa tarehe 17/02/2024. Na wakati huo msafarawa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Paul Makonda umepata ajali time 17:7 huku magari 7 yakibondeka na watu 7 kujeruhiwa. Wanajimu tupeni maneno hapa.
 
Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/2/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye atazikwa tarehe 17/02/2024. Na wakati huo msafarawa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Paul Makonda umepata ajali time 17:7 huku magari 7 yakibondeka na watu 7 kujeruhiwa. Wanajimu tupeni maneno hapa.
Unataka kusema nini exactly? Kifo cha JPM mbona ilikuwa March 21, 2021? Wewe hiyo Feb 17 umeitoa wapi?
 
Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/2/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye atazikwa tarehe 17/02/2024. Na wakati huo msafarawa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Paul Makonda umepata ajali time 17:7 huku magari 7 yakibondeka na watu 7 kujeruhiwa. Wanajimu tupeni maneno hapa.
kwa Neema na Baraka za Mungu hapa napo tutavuka salama ....

R.I.P Laigwanan comrade EL
 
Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/2/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye atazikwa tarehe 17/02/2024. Na wakati huo msafarawa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Paul Makonda umepata ajali time 17:7 huku magari 7 yakibondeka na watu 7 kujeruhiwa. Wanajimu tupeni maneno hapa.
Weka vizuri kumbukumbu zako, mengineyo ni dhana tu.
 
Back
Top Bottom