Ndugu Harrison Mwakyembe tafadhali tukutane Monduli kwenye mazishi ya shujaa Edward Lowassa!

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Ni salaam tu fupi kwa ndugu yangu Harrison Mwakyembe, jamaa mmoja hivi aliyepata umaarufu mkubwa sana kwenye siasa za chuki na visasi. Harrison Mwakyembe, wakati Edward Lowassa ni Waziri Mkuu, alikuwa kiongozi wa kundi maalum ambalo kazi yake kubwa ilikuwa ni kumharibia Edward Lowassa nafasi yake ya uwaziri mkuu, na heshima yake pia.

Harrison Mwakyembe alikuwa akitarajia huenda angepata yeye hiyo nafasi lakini Mungu akampa Mizengo Pinda! Tangia hapo Lowassa alikuwa mtu mwenye msononeko mkubwa sana! Edward Lowassa amelala sasa lakini moyo wake unamatundu yaliyotobolewa na siasa za visa za akina Harrison Mwakyembe!

Namsisitiza tu ndugu Harrison Mwakyembe kwamba tafadhali nenda Monduli ukaliguse hata jeneza la ndugu Lowassa, huenda utakuwa na amani, maana najua tangia miaka ile mlipoamua kumfanyia figisu zote hizo mambo yenu hayajawahi kunyooka! Shujaa amelala, taifa linaomboleza, lakini mioyo inawasuta sana maadui wa Lowassa.
 
Ni salaam tu fupi ,kwa ndugu yangu Harrison mwakyembe ,jamaa mmoja hivi aliyepata umaarufu mkubwa sana kwenye siasa za chuki na visasi ,Harrison mwakyembe wakati erdward lowassa ni waziri mkuu ,alikuwa kiongozi wa kundi maalum ambalo kazi yake kubwa ilikuwa ni kumharibia mheshimiwa erdward lowassa nafasi yake ya uwaziri mkuu ,na heshima yake pia .Harrison mwakyembe alikuwa akitarajia huenda angepata yeye hiyo nafasi lakini mungu akampa mizengo pinda! Tangia hapo lowassa alikuwa mtu mwenye msononeko mkubwa sana !erdward lowassa amelala sasa lakini moyo wake unamatundu yaliyotobolewa na siasa za visa za akina Harrison mwakyembe! Namsisitiza tu ndugu Harrison mwakyembe kwamba tafadhali nenda monduli ukaliguse hata jeneza la ndugu lowassa huenda utakuwa na amani,maana najua tangia miaka ile mlipoamua kumfanyia figisu zote hizo mambo yenu hayajawahi kunyooka ! Shujaa amelala taifa linaomboleza ,lakini mioyo inawasuta sana maadui wa lowassa ,
Malizia mwakyembe akapata shambulio la sumu lililoanza kuutafuna uhai wake kabla ya rais wa wakati huo kuingilia kati
 
Back
Top Bottom