Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe.
Kwa maana hiyo...
Wakuu chadema Mgombea uraisi na mgombea mwenza wao 2015 wote wameondoka chadema. Alianza Juma Duni Haji mgombea Mwenza sasa mgombea uraisi kamalizia. Wataalamu wa political science mtusaidie hili...
Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye...
Ni msema ukweli huwa hamung'unyi maneno. Kwake yeye nyeusi ni nyeusi na nyepe ni nyeupe sio nyeusi.......hicho ndicho kinacho wafanya wananchi wamuamini na kumlilia kero zao wakiamini zitapata...
Ni salaam tu fupi kwa ndugu yangu Harrison Mwakyembe, jamaa mmoja hivi aliyepata umaarufu mkubwa sana kwenye siasa za chuki na visasi. Harrison Mwakyembe, wakati Edward Lowassa ni Waziri Mkuu...
Wanabodi,
Nimepita hapa Jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za UKAWA, mchana huu saa 8:45, kitu nilichokishuhudia, kama kipimo uha ushindi wa uchaguzi, ni Idadi ya watu waliojitokeza kwa ridhaa...
Edward Lowassa kiongozi aliyekuwa katikati ya kisa cha Richmond, kampuni tata ya kufua umeme iliyosemekana kuwa feki na ya kwenye briefcase tu na iliyohusishwa na ufisadi mkubwa amehitimisha...
Ndugu zangu wadanganyika,
Matatizo au changamoto ambazo kiini chake ni mfumo mzima mbovu wa nchi hii, auwezi kutatuliwa kwenye mikutano na wananchi, kwa kuinua mwananchi mmoja na kumsikiliza...
Dr. Nchimbi alikuwa mfuasi kindakindaki wa Lowasa na angeweza kuwa Waziri Mkuu. Alipigwa Majungu na kukataliwa kisa tu anamkubali Lowasa. Wakina Kikwete walimchukia Nchimbi wakimwona kama si...
Siasa za nchi zilileta ushindani mkubwa kutokana na uwepo wa watu waliokubalika vilivyo kwenye kanda zao kiasi Cha kufikia kuitwa miamba. Ni kipindi cha kusisimua tulichopata kushuhudia kwenye...
Habari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. John Pombe Magufuli, awaalika wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa na wasanii chakula cha mchana eneo la...
Naomba kufahamishwa na wale wenye kufahamu zaidi, hivi ni sawa vikao vya CCM kufanyika Ikulu? Ninavyotambua Ikulu huwasikilisha serikali ikiwa ni pamoja na jamii nzima ya Tanzania.
Hivi CUF, TLP...
Mimi nimeshidwa kuelewa hivi huo mkutano unaofanyika wa ki chama ndani ya ikulu, nani analipa gharama ni CCM au Ikulu?
Hii ni mara ya kwanza naona, hivi sheria inasemaje kuhusu kutumika mali ya...
Yani mtu siyo mtumishi wa umma na hana chochote kile serikalini lakini anatembea na msafara wa magari ya serikali na watu wamekaa kimya tuu.
Kwa nguvu alionayo uyu bwana nahisi anaweza kwenda...
Habari za wakati huu?
Kwanza nianze kwa kusema kwamba mimi binafsi nilikuwa muumini mkubwa kabisa wa sera za Magufuli lakini nilikuwa mkosoaji mkubwa sana wa Mtindo wake wa uongozi.Kama mdau wa...
Lowassa kaondoka. kaenda zake akitupa mda wa kuangalia alimopita
Ameonewa sana na kaonea na kila mtu
Tulimfitini ili tupate tulichotaka wakati tulipokitaka
lakini yeye alibaki yule yule wa...
Napendekeza serikali ya Tanzania ichukue hatua katika haya mapendekezo yangu.
1. Napendekeza serikali ya JMT itoe visa free kwa raia kutoka India, China, Japan na Korea
- katika mchakato wa visa...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema hayati Lowasa alikuwa mtu mwenye Upendo, Muungwana na Kiongozi Mpenda Maendeleo asiyechoka
" Kwa niaba ya Chadema natuma salamu za pole kwa mama na familia...
Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.