Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia Eng. Kundo A. Mathew amesema Serikali inapanga kuanza kutoa Elimu kuhusu athari za Akili Unde (AI) kwa watumiaji wake pamoja na kuandaa Sera...
Kufuatia Prof Tibaijuka kusema kimfumo Mpinzani hawezi kutangazwa mshindi akishinda Urais, mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh John Heche amesema Uchaguzi wa 2015 ulipinduliwa kwa lengo la kuuwa...
Wanabodi,
Hii ni thread ya kutoamini kuwa hii statement ya Lowassa
ndicho alichoitiwa Ikulu.
Hii statement ya Lowassa kuwa rais Magufuli, alimuita yeye Lowassa Ikulu, ili kumrubuni kwa...
Pope Francis meets with President of Tanzania
Pope Francis holds an audience with President Samia Suluhu Hassan of the United Republic of Tanzania, expressing their joint commitment to promoting...
Maneno hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali lililoulizwa Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Mbuli Mjini Ndg. Zacharia Isaay...
Kunatofauti ya kuamua na kusimamia maamzi. Ujenzi wa shule za kata nchi nzima ulikuwa uamuzi wa CCM na ulikuwa kwenye ilani ya uchaguzi 2005-2010
USHAHIDI HUU HAPA
Elimu ya Sekondari
61. CCM...
KIFO CHA ACT WAZALENDO NI "POOR PARENTING."
ACT wazalendo ina kila sababu ya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania, na kuongoza idadi ya madiwani na Wabunge Chaguzi zijazo kulinganisha na...
Nawaheshimu sana CHADEMA kama chama kikuu cha Upinzani lakini ni ngumu sana kukipa Nchi chama ambacho marafiki na wadau wao wakubwa ni nchi za nje.
Je, usalama wa rasmali za nchi utakuwepo? Ni...
Leo tarehe 12 Februari 2024 Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewasilisha Mahakamani nia ya kutoendelea na kesi ya mauaji inayowakabili George Sanga, Optatus Nkwera na Goodlucky Mfuse.
Baada ya...
Hii gari ya serikali namba STL 8699 Land Cruiser V8 ilikuwa inatafuta nini kwenye msafara wa Makonda ambaye sio kiongozi wa Serikali mpaka inapata ajali?
Kwa hiyo hapo tena pesa za serikali...
MNEC HALIMA MAMUYA: NENDENI MKAHAKIKISHE CCM INASHINDA
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mlezi wa Mkoa wa #Njombe Halima Mohammed Mamuya amewataka...
Hili Taifa Upendo umepoa kabisa au tuseme haupo
Fikiria msafara wa Makonda unapata Ujali Watu badala ya kuwatakia Pole na uponyaji wa haraka wao wanalalamika msafara ulikuwa mrefu sana
Mungu wa...
P.Makonda kabla ya kukatisha ziara yako, nilikuambia ukija mkoa wa Mtwara uje na majibu ya bei ya korosho.
Pia ukija Mtwara uje na uwataje madalali wa korosho au wanaoua soko la korosho Mtwara...
Kirefu cha ACT WAZALENDO ni neno la kiingereza. Sisi Watanzania ni waswahili ni wakati muafaka Chama chenu kiwe kama CCM (CHAMA CHA MAPINDUZI) au CHADEMA(CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO)...
Hii ndio Taarifa ya sasa kuhusiana na Msiba huo
Hii ni kwamba Maombolezo ya kitaifa ya siku 5 yataisha kabla hajazikwa.
====
Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa unatarajiwa kuzikwa...
Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye...
Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Anna Tibaijuka, ametoa pole kwa familia ya aliekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa.
"Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN...
"Migogoro ya ardhi na migogoro ya mipaka kati ya hifadhi na vijiji, maeno ya Kusini mwa Tanzania tumekuta malalamiko makubwa ya wakulima dhidi ya wafugaji kuvamia maeneo yao na hata kupelekea...
Barua ya wazi Kwa mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na afisa elimu.
Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi Msumi.
Ndugu wakuu wetu tunahitaji Sana msaada wetu kuhusu upotevu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.