Mwanaharakati Fatma Karume, amekosoa mfumo anaotumia Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Paul Makonda katika kukusanya malalamiko ya watu na kueleza kuwa ni udhalilishaji.
"Sipendi kuona wananchi...
Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa.
Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya...
Rais Samia ni yule yule mama mwenye Upendo, Muungwana, mnyenyekevu na Mwenye Huruma
Ni Kiongozi pekee wa Serikali aliyekwenda kumjulia hali mh Tundu Lisu kule Nairobi baada ya kupigwa risasi
Ni...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza, yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi...
Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali.
Amenena maneno hayo akiwa...
Wilbroad Slaa ambaye aliwahi kuwa kiongozi wa Chadema kabla ya kurejea CCM, ameisifu hotuba ya Tundu Lissu aliyoitoa Temeke huku akidai kwamba imegusa penyewe hasa.
Amedai kwamba kitendo cha...
Tusizungumze mengi sana twende tu moja kwa moja kwenye pointi ninayotaka kusema.
1. Paul Makonda elimu yake inatiliwa mashaka.
2. Paul Makonda alifanya mambo yasiyo na weledi wa kiuongozi...
Nimekuwa nafakari sana ni kwanini Raisi Samia anasita sana kwenye maswala ya katiba na kwa mtanzamo wangu haya ni mambo ambayo yanasitisha mchakato huu
1. Kikwete na wapambe wake wanaogopa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika uteuzi uliofanywa na chama cha Mapinduzi chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais na mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan ...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ametangaza kuongoza maandamano ya taifa ya amani Jijini Mwanza.
" Kwa mapenzi ya Mungu, nitaongoza maandamano ya Taifa ya...
Mbunge wa zamani wa Kahama, James Lembeli amewaasa Watanzania kuacha tabia ya kumsifia mtu baada ya kufariki dunia wakati akiwa hai husemwa kwa ubaya.
Lembeli amesema tabia hiyo inazidi...
Mwaka 2000 niliamua kuishi kama Lowasa, nilishawishiwa sana na upendo uliokuwepo ndani ya wana CCM na jamii dhidi yake. Kuna wakati nilichukia matendo yake hasa pale alipokuwa akifanya kampeni za...
Uchaguzi wa 2015 uliendeshwa kidikteta kwenye Vyama karibia vyote
Mbowe alibadili gia angani akamleta Lowassa wa CCM na Babu Duni wa CUF
Dkt. Slaa na Prof Lipumba ndio waliopinga na wakakaa...
Je, ni kuongeza kura ,wabunge ili kupata Ruzuku kubwa? Au kulikuwa hakuna mgombea anaefaa Chamani .
Kama ni ruzuku, je kama hili lilikuwa linatosha kuhalalisha tuhuma zote za ufisadi zilizotolewa...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana juu ya mambo aliyoyaongea jana kuhusu Ruzuku n.k
ANGALIA VIDEO HAPA...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikitarajia kufanya maandanamano ya amani jijini Mwanza Februari 15 mwaka huu, Jeshi la Polisi limetoa rai kwa viongozi na wafuasi wa chama hicho...
Ibara ya 16 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano inasema; "Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na unyumba wake, na pia heshima na...
sakata la Nape na lowasa limeendelea baada ya Nape jana kumwambia kwa kutangaza nia kabla ya wakati wake amepoteza sifa ya kuteuliwa kupitia chama cha mapibduzi.
maoni yangu: Nabe acha kushindana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.