Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hotuba ya Julius Malema kwenye msiba wa Winnie Mandela ilihitajika sana kwenye siku ya kumuaga Lowassa na ingependeza itolewe na mtu kama Tundu Lissu. Msiba huu umedogoshwa ulipaswa kuwa mkubwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema maandamano yataendelea kama ilivyopangwa kwa kuwa siku tano za maombolezo zitamalizika kesho Februari 14, 2024...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Tumeona ziara ya Comrade Makonda MNEC na mwenezi wa CCM Taifa maeneo mengi ya nchi. Hata tuliokuwa tuna muona Makonda kama muhalifu (mwenye kudhulumu haki ya kuishi) sasa tuna muona shujaa...
11 Reactions
51 Replies
5K Views
Kufanya maamuzi mabaya wakati wa uchaguzi kunawagharimu watu wengi sana, wengi hukubali kurubuniwa kwa rushwa au ahadi za madaraka, upendeleo au kumchagua mtu kisa ni wa chama chake hata kama...
1 Reactions
8 Replies
570 Views
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amefichua siri kuwa ni Lowassa ndiye alimshawishi kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 1995. Rais Mstaafu Kikwete anasema hakuwa na wazo la kutaka kujitosa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwanaharakati Fatma Karume, amekosoa mfumo anaotumia Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Paul Makonda katika kukusanya malalamiko ya watu na kueleza kuwa ni udhalilishaji. "Sipendi kuona wananchi...
3 Reactions
5 Replies
905 Views
Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa. Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya...
30 Reactions
53 Replies
5K Views
Rais Samia ni yule yule mama mwenye Upendo, Muungwana, mnyenyekevu na Mwenye Huruma Ni Kiongozi pekee wa Serikali aliyekwenda kumjulia hali mh Tundu Lisu kule Nairobi baada ya kupigwa risasi Ni...
0 Reactions
8 Replies
495 Views
Rais Samia Suluhu amekutana na Papa Francis mjini Vatican. Angalia picha hapa, VIDEO: TUKIO ZIMA LILIVYOKUWA Picha - Mwananchi Written by Mjanja M1 ✍️
15 Reactions
94 Replies
10K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza, yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Katibu mwenezi Wa CCM amewatolea uvivu watu wanafiki wanaojifanya kuwa walikuwa karibu na Lowassa huku wakati anaumwa hakuna aliyefika hata hospitali kumjulia Hali. Amenena maneno hayo akiwa...
8 Reactions
73 Replies
8K Views
Wilbroad Slaa ambaye aliwahi kuwa kiongozi wa Chadema kabla ya kurejea CCM, ameisifu hotuba ya Tundu Lissu aliyoitoa Temeke huku akidai kwamba imegusa penyewe hasa. Amedai kwamba kitendo cha...
18 Reactions
70 Replies
5K Views
Tusizungumze mengi sana twende tu moja kwa moja kwenye pointi ninayotaka kusema. 1. Paul Makonda elimu yake inatiliwa mashaka. 2. Paul Makonda alifanya mambo yasiyo na weledi wa kiuongozi...
10 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimekuwa nafakari sana ni kwanini Raisi Samia anasita sana kwenye maswala ya katiba na kwa mtanzamo wangu haya ni mambo ambayo yanasitisha mchakato huu 1. Kikwete na wapambe wake wanaogopa...
0 Reactions
5 Replies
977 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika uteuzi uliofanywa na chama cha Mapinduzi chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais na mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan ...
9 Reactions
125 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ametangaza kuongoza maandamano ya taifa ya amani Jijini Mwanza. " Kwa mapenzi ya Mungu, nitaongoza maandamano ya Taifa ya...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba kuelimishwa kuhusu heshima za kijeshi anazopewa Lowassa katika msiba wake
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mbunge wa zamani wa Kahama, James Lembeli amewaasa Watanzania kuacha tabia ya kumsifia mtu baada ya kufariki dunia wakati akiwa hai husemwa kwa ubaya. Lembeli amesema tabia hiyo inazidi...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwaka 2000 niliamua kuishi kama Lowasa, nilishawishiwa sana na upendo uliokuwepo ndani ya wana CCM na jamii dhidi yake. Kuna wakati nilichukia matendo yake hasa pale alipokuwa akifanya kampeni za...
0 Reactions
1 Replies
638 Views
Uchaguzi wa 2015 uliendeshwa kidikteta kwenye Vyama karibia vyote Mbowe alibadili gia angani akamleta Lowassa wa CCM na Babu Duni wa CUF Dkt. Slaa na Prof Lipumba ndio waliopinga na wakakaa...
2 Reactions
7 Replies
688 Views
Back
Top Bottom