Naweza kusema Lowassa amekuwa overrated sana ndani ya CCM na nchi kwa ujumla. Nguvu za Lowassa ndani ya CCM zimetiwa chumvi nyingi sana.
Haikuwa nguvu ya Lowassa iliyomfanya Kikwete mgombea wa...
Nimesoma Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lema huko X ukurasani Kwake akidai Waliotuambia Lowassa ni Fisadi jana walikaa Viti vya mbele msibani Wakijifanya kulia na kumtolea Matamko mazuri...
Kwa mara ya kwanza nimeona Marehemu anatukanwa kwenye awamu ya Sita,sijui kama utamaduni wa Mtanzania?
Sukari kilo 5,500
Nyama kilo 10,000
Mchele kilo 4,000
Unga kilo 2,800
Petroli lita 3,300...
Kwa mujibu wa data kutoka BoT kama zilivyonukuliwa na jarida la The Chanzo zinabainisha kwamba Tanzania ilitumia takribani Shilingi Trilioni 2 Kwa mwaka 2023 sawa na Dola mil.800 kuagizia bidhaa 3...
Maandamano makubwa yaliyo fanyika Jana toka pande tofauti za jiji la Mwanza yamehitimisha dhana kuwa Ziara ya mwenezi wa CCM Makonda kanda ya ziwa iliyokuwa ina tafsiriwa ni kifo cha siasa za...
Hakika kwanza nianze na POLE nyingi sana kwa Familia ya Hayati Edward Lowassa,Rais Samia Ccm na CHADEMA.
Hayati Edward Lowassa alikuwa Mwanachama wa Ccm mpaka pale Chama chake kilipomkata jina kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna jambo ambalo Mwenyezi Mungu kaliweka ndani ya Dkt. Tulia Acksoni Mwansasu, Dada wa Taifa, Msomi Nguli wa Sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini, Spika wa Bunge...
Kuna yule mbunge wa Chato nadhani mhe Medard Kalemani ni kosa gani kubwa ambalo Kalemani alifanya hadi kutorewa nishati?
Alikuwa mchapakazi, hakuwa mswahili hata kidogo alikuwa hapendi uzembe...
Kweri huyu alikua shujaa hii clip ya Magufuri akiuliza ishu ya umeme imenifanya nilie
Wapendwa hapa nalia muda huu Tanzania haitokuja kupata shujaa kama huyu
Huyu baba alikua anajua shida za...
Mungu ni mwema Wakati wote
Hatimaye Freeman Mbowe apewa nafasi ya kuzungumza Msibani kwa Lowassa.
--
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijafurahia kitendo cha kutotajwa...
Ni majitu yale yale yaliyo iba kura za mzee Lowasa 2015 kwa bao la mkono ndio yaliyo taka kuiba CV ya mzee Lowasa tena akiwa amelala.
Dakika za jionii kabisaa mahafidhina ya ccm yakiwa yakiwa...
Kikwete jiwekee akiba
NIMEPATA kueleza kwa zaidi ya mara mbili namna ninavyoguswa na ugumu wa kazi zinazomkabili Rais Jakaya Kikwete wakati anapotimiza wajibu wake kama mkuu wa nchi, Amiri Jeshi...
Tundu Lissu ameyasema hayo alipotembelea familia ya Lowassa kuhani msiba kuwa amefika kumpa pole mwalimu wake aliyemfundisha darasani miaka arobaini na moja iliyopita.
Tundu Lissu amesisitiza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan usiku wa kuamkia leo, Jumapili Februari 18.2024 amewasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za...
Hii ndio Taarifa fupi iliyosambazwa na chama hicho leo kote Duniani , Kwamba Chama hicho kitaongea na Wanahabari na huenda kesho kikatoa ratiba ya Maandamano kwenye jiji hilo
Ikumbukwe kwamba...
Tanzania ili ifanikiwe lazima watu wake wakubali kustaarabika tofauti na hapo itapita hata miaka 100 na nchi itakua hivi hivi
Mimi sio mwanachama wa chadema au ccm sina ushabiki wa chama
Lowassa...
Mbunge wa jimbo la moshi vijijini Profesa Patrick Ndakidemi licha ya kuwepo makundi hasi yanayopambana kuhakikisha yanakwamisha juhudi zake katika kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo lake,msomi...
Niwaulize CCM kweli ni vizuri kumuweka mtu wa aina ya Balozi Emanuel Nchimbi mwenye ueledi wa juu na siasa za kistaarabu kufanya kazi Makonda? Mh Kinana kwanini hukumshauri Rais mkiona watu kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.