Nikirejea namna vyama vikubwa viwili Tanzania vinavyoteua wagombea wake wa nafasi za uchaguzi hasa za Urais ni wazi vigogo wachache wa vyama wamehodhi mchakato wa kupitisha wagombea wao badala ya...
Akifa kiongozi au Kiongozi mstaafu ni sawa tu na kifo cha mwanakijiji wa kule Nanjirinji Kilwa. Akifa msanii ni sawa tu na kifo cha raia wa Tandale aliyekufa kwa typhoid ambayo alishindwa...
Wataalamu wa sayansi ya saikolojia wanashauri nini hapa. Tuhuma za usaliti hazikomi. siamini kabisa kama ana amani moyoni, na kwa umri alionao sasa naona kama ameporomoka ghafla. Sioni kama...
Mengi yamesemwa kuhusu mchango wa Edward Lowassa akiwa Waziri wa Wizara mbalimbali na akiwa Waziri Mkuu.
Katika mazuri aliyofanyia Taifa ni kuongoza nchi za ukanda wa mto Nile (Riparian states)...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema Utafiti uliofanywa na Kampuni ya Kimataifa kuelekea uchaguzi wa 2015 ulionyesha Vita dhidi ya Ufisadi ni Kipaumbele namba 8 au 9.
Kwamba...
Kwema Wakuu!
Kisa cha Lowasa na Rafikiake na usaliti mkubwa uliotokea ni kisa kitakachoishi kwenye taifa hili kwa karne na karne.
Huwaga visa vya usaliti na mapenzi vinadumu sana. Historia na...
"Mikoa ya Kaskazini iliendelezwa kwa juhudi ya Wanakaskazini"
Huo ni Ukweli unaoleta furaha kwa Wanakaskazini na Maumivu kwa wana mikoa mingine.
Nitaelezea kwa Ushahidi ulio wazi kabisaaa...
Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine...
Wakati wa Prof Muhongo,wakipigia upatu mradi wa gesi ya mtwara,akisaidiwa na wanasiasa wa vyama vyote mfano akina Zitto,waliahidi kuwa huu mradi ukianza hakutakuwa na mgawo wa umeme tena.
Na...
Mwamba ni wa kitambo,
Ameshuhudia mengi, kabla hajawa raisi na hata baada, na hata baada ya kukiachia kiti Mwamba inasemekana alipendekezwa kitambo sana na wenye akili aje aliongoze hili taifa...
1. Rais Jakaya Kikwete.
2. Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
3. Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein.
4. Philip Mangula.
6. Balozi Seif Ali Iddi.
7. Mizengo Pinda.
8. Abdulrahman Kinana.
9...
Hii wiki Nyota ya Chadema imeng'aa sana kwani kila kikwazo kilichoibuka mbele yao Walikiruka
Tulitangaziwa Tundu Lisu angehojiwa Star tv lakini hatukumuona na badala yake Mjumbe wa CCM ndio...
Kauli ya Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu (CWT), Mwalimu Japhet Maganga wakati akizungumza na Wanahabari ofisini kwake Mkoani Dodoma, amesema “Kuna mbinu chafu zinapangwa kunidhalilisha nionekane...
Huyu Mama kuliko nimpigie kura heri nimpigie kura mwingine iharibike, Tumekuwa na Rais mwongo na mawaziri waongo waongo. Kwanza mama hakai nchini kama alivyokuwaga Kikwete tu,hawa watu wa Pwani...
Mtibeli humu aliwahi kuandika humu na nampa credit Kwa kuliona hili mapema.
Leo katika mazishi ya Mwamba wa kaskazini Mzee Lowasa kwenye wasifu wa marehemu Kwa makusudi na mpaka Sasa haijurikani...
CHALINZE YAONGOZA UKUSANYAJI MAPATO NCHINI. YATIA FORA PIA UPELEKAJI WA FEDHA NYINGI ZA MIRADI YA MAENDELEO.
Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani inayoongozwa na Mbunge Mhe. Ridhiwani...
Halmashauri ya wilaya ya Chalinze mkoani Pwani yenye Mbunge wake Ridhiwani Kikwete, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, leo Ijumaa Novemba 24, 2023 imetunukiwa hati ya pongezi...
Wakati wa kutoa neno la shukrani, wanafamilia wawili wa Hayati Lowassa ambao ni Richard last born na Fredrick first born walisimama kutoa shukrani zao kwa waliohusika kushikamana na familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.