Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake...
Kwema Wakuu!
Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu...
SOMA HABARI YOTE KABLA YA KUCHANGIA TAFADHALI.
Edward Lowassa na Rais Jakaya Kikwete walikuwa ni marafiki wa dhati mbele ya macho ya watu. Kila mmoja kwa nafsi yake alikuwa na lengo lake. Mmoja...
Mo, Lowassa, Rostam wote waliingia kwenye siasa kulinda uwekezaji wao na mapenzi ya vyama ni fake. Ndiyo maana wameingia na kutoka. Hata Lowassa iko siku atatoka.
Ukiangalia vizuri marafiki zao...
Ni vema Chadema ikatufafanulia huko "Kuchoka" maana yake nini
Ikumbukwe kuwa kampeni za uchaguzi zimeshaanza hivyo ni vema tukaeleweshana mapema yale yajayo
Ahsanteni sana 😀
Edward Lowassa amefariki na leo tumempunzisha. Pole sana kwa Taifa na familia yake.
Nimekaa, nimewaza kwa kuwa Hayati Lowassa amefanya mengi sana hapa Tanzania ninashauri yafuatayo. Baadhi ya...
Jana nimemsikia mtoto wa Marehemu Edward Lowassa ambaye pia ni Mtunga Sheria (Mbunge) Fred Lowassa akimshikuru Rais Samia Suluhu Hassan na kusema, "kama si Rais Samia baba asingefika Jumamosi...
Kwanini Uhuru wa bendera sheria nyingi znazotumika asilimia kubwa za mkoloni.
Mfano:
Sheria za Makosa ya Jinai
Sheria hii ni ya Mkoloni sheria hii inasababisha polisi, mahakimu, na majaji...
Dotto alikuja kwa kasi na kunakikao akazuia TANESCO wasiingie. Kwa hali inavokwenda ni dhahiri na yeye MFUPA umemshinda.
Nashauri wizara na TANESCO, shirikisheni wasomi, ombeni ushauri kwa wasomi...
Tukiwa Monduli hapa majira ya usiku tunakula nyama kama ishara yakumuenzi ndugu yetu na kaka yetu Lowasa. Wazee wa kimila kutoka ukanda huu wa kaskazini wanapiga soga na kubadilishana mawazo huku...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimekuwa nikishangaa sana kwa baadhi ya watanzania wenzangu kuhoji ama kushangaa kwanini ndugu Rostam Azizi anaonekana katika ziara nyingi za Mheshimiwa Rais nje ya nchi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mbeya kimesema kimekamilisha maandalizi ya kufanyika kwa maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Jumanne, Februari 20.2024 ambapo viongozi...
Tanzania wanasiasa wote ni maskini Kwa vinywa vyao wenyewe, wengi Wanamiliki nyumba za makazi na kupanga, wanamiliki mashamba makubwa ya mifugo na wakiiba sana wanakwenda kununua mabasi...
Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu.
Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi...
Ndio sababu maeneo mengine akifariki kiongozi Wasifu wa Marehemu husomwa na Wanafamilia baada ya kukusanya taarifa za maisha yake binafsi kuanzia alipozaliwa na Historia ya Utumishi wake husomwa...
Kupitia bunge leo kupiga kura ya kuadhimia kuondoa kipengele cha sharti mwajiliwa wa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama kupita jkt au jku, serikali inapaswa kuomba msamaha maana kigezo hiko...
Nilifuatilia kuagwa kwa mwili wa Hayati Edward Lowassa pale kalimjee hall sikuweza kumuona muheshimiwa Pinda na pale ndio ilikuwa sehemu sahihi ya viongozi mashuhuri na wastaafu kumuaga hayati...
Kwa jinsi walivyopatikana na kuteuliwa na Tume ya Uchaguzi kuwa Wabunge Viti Maalum ni wazi kuwa ni chawa wa CCM. Kuthibitisha hilo ni jinsi Mihimili yote 3 inavyotumia nguvu kubwa kuwalinda licha...
Kwenu wataalamu wa mambo ya siasa, je ilikuwa sahihi kamati ya mazishi ambayo inaongozwa na PM kuandaa historia ya hayati Lowasa bila kuhusisha kuhamia upinzani?
Mama alipokuja kuhutubia yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.