Ni kosa gani kubwa ambalo Kalemani alifanya hadi kutolewa nishati?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Kuna yule mbunge wa Chato nadhani mhe Medard Kalemani ni kosa gani kubwa ambalo Kalemani alifanya hadi kutorewa nishati?

Alikuwa mchapakazi, hakuwa mswahili hata kidogo alikuwa hapendi uzembe wala kuvumilia ujinga ujinga au uswahili kazini

Matunda ya kuona faida ya umeme tumeona kupitia kalemani kipind chake umeme haukusumbua kabisa

Ilikua ikitokea uzembe tu lazima mtu atumbuliwe au onyo kali nikashangaa yule mtu alitolewa Tanesco na wizara nishati bila sababu zozote

NAULIZA KALEMANI ALIFANYA KOSA GANI HADI AKATOLEWA KWENYE UWAZIRI?
 
Kosa lake lilikuwa yeye kutokuwa mtu wa Msonga wala wa Lowassa. Alitolewa ili January apate nafasi na Taifa gas ya Rostam Aziz ipate madeal. Rostam Aziz ndo mwanzo wa yote haya mpaka leo umeme haueleweki.Umeme haueleweki ni Rostam Aziz auze gas zake na generator zake.
 
Duuuuuuuuuuh!!
 
Hakuna walitaka tu kuweka watu wao ili wapige dili zao vizuri.
 
Kalemani alihusika kiasi kikubwa kuwezesha shambulio la Lissu kufanyika. Huyu siku ya siku kama akiwa hai atatueleza yote.
 
Lakin mbona makonda anahisiwa na yupo kwenye mfumo?
Makonda alisimamia show na Kalemani aliwezesha kufanyika shambulio kisha akaondoa cctv camera kufuta ushahidi. Ni wengi walishiriki ila ipo siku yote yatamwagwa hadharani
 
Atakuwa alikuwa anakula pekee yake apeleki mrejesho juu.
Balance uchapakazi na mrejesho
 
Back
Top Bottom