Freeman Mbowe ulipigaje pale

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Ni majitu yale yale yaliyo iba kura za mzee Lowasa 2015 kwa bao la mkono ndio yaliyo taka kuiba CV ya mzee Lowasa tena akiwa amelala.
Dakika za jionii kabisaa mahafidhina ya ccm yakiwa yakiwa yapongezana yakifikiri yamefanikiwa kufanya ukatiri wao dhidi ya mtu akiwa hai na hata pale ametwaliwa Mbowe anasawazisha bao tena sio bao la mkono bali ni free kick.
Watu waliokuwa na majonzi msibani ghafla wakajikuta ni wenye furaha na kumpigia makofi Mbowe.
Hakika hotuba ya Mbowe ilileta faraja sio tuu kwa familia bali kwa waombolezaji wote na kuwaumbua wauaji na watekaji.
Majitu yanakuua halafu kinafiki yanajifanya yenye huruma na upendo kugaramia mazishi yako.
Mimi nikifa sitaki kuzikwa na ccm.
Maendeleo hayana vyamaa.
 
Back
Top Bottom