Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake.
Japo ukisema Tanganyika imeuzwa...
Mbowe amewahi kuwa Mbunge na ni mfanyabiashara mkubwa.
Chadema ni chama Cha siasa Kwa pesa za Mbowe.
Na huko Chadema nawafahamu wagombea wengi sana wa ubunge na Wengine waliwahi kuwa Wabunge ila...
Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii...
Uzi huu unamhusu Nape Nnauye kwa kuzuia vyombo vyote vya habari kurusha au kutoa machapisho ya waraka wa maaskofu wa "TEC" kutoka madhehebu ya "Roman Catholic" nchini Tannzania.
Ninachotaka Nape...
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili...
Naam!
Hamkani upepo si shwari ndani bahari ya Hindi. Nahodha mkuu wa Jahazi tulilopandia njiani kutokea mji wa 2020, amejaa jazba ghafla na jahazi linaendeshwa kwa hasira zaidi kuliko Busara.
Pia...
Wanaweza Kuita majina kati ya haya
1. Coalition Against DP World Party of Tanzania
2. Hustlers Movement for Natural Resources
3. Vuguvugu la Maendelea na Mabadiliko Tanzania.
Mwenyekiti-Dr W...
Aliyekuwa Mbunge wa Chadema mh Suzan Kiwanga amewaambia Wananchi wa Bunda kwamba kwa Wassira sasa yatosha anapaswa apumzishwe tena Makumbusho
Aidha Kiwanga amesema Wanawake wameumbwa na...
Assignment ya kwanza kwako kubwa bwana Waziri January Makamba ni kutafsiri diplomasia y Uchumi Kwa vitendo.
Wenzetu Kenya hapo wameweza wanatafutia Vijana wao ma jobless fursa za Ajira mfano...
Tumesema mara nyingi hapa kwamba hao DP world ni Wagalatia lakini Ndugu zetu akina The Boss na The Big Show hawakutuelewa kabisa
Mimi siyo mwislamu lakini nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ile IGA...
Heshima sana wanajamvi,
Nayatazama mabadiliko madogo baraza la mawaziri kama sehemu ya mkakati wa kumwinua January Makamba kuelekea kileleni (IKULU) baada ya Wizara ya Nishati kumshinda...
Naomba kutumia jukwaa hili kuwaomba viongozi wa dini zote kuacha kabisa kulumbana kwasababu za mambo ya kisiasa.
Badala yake viongozi hawa waungane kwa pamoja na kutoa tamko la kuliombea TAIFA...
Dar port's $357m upgrade bears fruit, topples Mombasa from perch
Sunday May 28 2023 The East Africa
Kenya and Tanzania have been competing as the preferred entry point by Uganda, Rwanda, Burundi...
Binafis siungani na suala la viongozi wetu wa kisiasa kuwa pia wafanya biashara.
Nakumbuka 2021 nikiwa ofisinya mkuu wa Wilaya ya Magu nilifanikiwa kupata taarifa yakuwa MH Waziri Bashe Kwa...
Naona kuna umuhimu wa kuanzisha chama kipya cha kisiasa, hivi kuna ugumu gani? Au wasajili watatuzuia, au watapoteza kwa kutumia wasiojulikana!
Najiuliza tu, kuna watu hapa Tanzania hawana hata...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
leo Septemba 03, 2023 ameelekea nchini Zimbabwe kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uapisho wa Rais mteule wa...
Habari wana jamvi.
Hii ndio taarifa juu ya tukio na maamuzi yaliuochkuliwa baada ya watu/ mtu kjvunja , kukufuru na kunajisi kanisa katoliki lililoko Buzirayombo.
Kwa habari nilizozipata nikuwa ili kupunguza ghrama za ujenzi mkandarasi anayejenga barabara ya ITONI- LUSITU kwenye eneo la Kitulila anafanya MPANGO wa Kuchepusha Barabara ambako ni karibu sana...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo amevurumisha mikutano 5 mfululizo kwenye jimbo moja tu la Bariadi Vijijini
Kama Kawaida yake, Lissu amewaomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.