Mbeya: CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Kwenye Ofisi za Kanda ya Nyasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,722
218,285
Hii ndio Taarifa fupi iliyosambazwa na chama hicho leo kote Duniani , Kwamba Chama hicho kitaongea na Wanahabari na huenda kesho kikatoa ratiba ya Maandamano kwenye jiji hilo

Ikumbukwe kwamba Maandamano ya Chadema yanazidi kupata uungwaji mkono wa kutisha wa wananchi , na inakisiwa kwamba Maandamano ya Mbeya yatavunja rekodi ya Maandamano yaliyowahi kufanyika Nchini Tanzania .

Usiondoke JF maana nitakuwa Live kutoka ofisi ya Kanda hiyo

Screenshot_2024-02-18-10-14-14-1.png
 
Back
Top Bottom