Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge Amandus Chinguile: Ni lini Serikali Italigawa Jimbo la Nachingwea. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kutangaza utaratibu na sifa za kugawa majimbo mbalimbali nchini, ikiwa ni...
0 Reactions
7 Replies
947 Views
Na. WAF - Dar Es - Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nape aliweza kwenda Ikulu kumwomba radhi Magufuli kwa lengo la kupata madaraka. Lakini alishindwa kwenda kumwomba radhi Lowassa baada ya kumdhalilisha na kumtakia kifo kwenye mkutano wa adhara...
11 Reactions
60 Replies
7K Views
Wanabodi, Sometimes you have to take the bitter with the sweeter!. Kitendo cha Lowassa kujiunga Chadema, ingawa ni very sweet move kwa wengi, ila kwa wengine it's very bitter move...
47 Reactions
313 Replies
38K Views
Trump alikuwa na slogan yake ya Make America Great Again(MAGA). Baadaye wafuasi wake wakaanza kuitwa MAGA. Hawa jamaa huwaambii kitu kuhusu Trump. Kwao Trump ni kama Malaika au demigod. Kwao Trump...
2 Reactions
5 Replies
670 Views
https://twitter.com/bbcswahili/status/1759488025426321782?t=Iaq3wnJbuHORDnFRXs9O9Q&s=19 My Take Nionavyo Mimi hii Sanamu Haina sura ya mwl.nyerere sijui wenzangu mumegundua Hilo? 👇👇 Maoni ya...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika, ameanika namba ya Spika hadharani ili ahojiwe moja kwa moja na Wananchi kwa kukataa kutii sheria inayomtaka awaondoe bungeni watu 19 waliofukuzwa...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Mbunge Simon Lusengikile: Gari ya Milioni 120 Yauzwa Milioni 8 MBUNGE wa Jimbo la Busega, Simon Lusengikile ameitaka Wizara ya Fedha kuja na mpango utakaoonesha ni namna gani uthaminishaji wa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Unajifanya unachukia sana Mtu Akimsifia kiongozi wa CCM Lakini wenyewe. Hawa. Chukiani hivyo na ndio. Leo. Makonda. Na. Mboe wamekaa. Sehemu moja. Mkataze. Basi. Mboe. Asikae na. Viongozi. Wa ccm...
1 Reactions
5 Replies
554 Views
Maandalizi ya maandamano ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mwanza yamefikia asilimia 90 huku miongoni mwa waliothibitisha kushiriki ni mwanasiasa mkongwe, Dk Wilbrod Slaa...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi ni mwana CCM lakini sikubaliani na unafiki wa hovyo na kijinga katika zama za kidijitali na upotoshwaji wa historia. Huwa napinga maandishi ya Mzee Mohamed Said hapa JF kutokana na simulizi...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13...
14 Reactions
104 Replies
9K Views
Watu kama Adolf, JPM, Putin, Cuba na China huwa hawaamini katika democracy hasa linapokuja suala la kuongoza mamilioni. Ni lazima only selected people the elite ndio wawe na sauti. SIMAI ...
15 Reactions
83 Replies
5K Views
Iliichukua TANU chini ya miaka kumi kupata uhuru wa Tanganyika, lakini sasa ni zaidi ya miaka hamsini Tanganyika inapambana kutoka katika shimo lililowekwa na watawala weusi bila mafanikio...
14 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari wana jamvi? Kwa miezi kadha naona kada wa Ccm aliyekuaga mwanachama wa Chadem Benson Mramba akinukuu na kuandika mambo ya ajabu ajabu sana sasa leo nimeona niwape nini kilichofanya...
24 Reactions
159 Replies
16K Views
Enzi za Kikwete alipowaalika Viongozi Wakuu wa CHADEMA Ikulu baada ya mazungumzo Tundu Lissu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa wakati akina Mbowe wakigonga juice. Juzi pale Star TV...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hasssan kipenzi cha watanzania mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Nilimsikia Fred Lowassa katika salaam zake za rambirambi pale Karimjee Hall, akitoa shukurani zake za dhati Kwa Rais Samia Kwa matibabu ya Baba yake, Hayati Edward Lowassa na kwenda mbali zaidi...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu wa nchi za Africa wamekutana nchi Ethiopia ambayo ni makao makuu ya Umoja wa Africa huku agenda zao kuu ni pamoja na masula ya usalama, elimu, uchumi, nk. Nauliza je tuwaamini kwamba...
2 Reactions
2 Replies
308 Views
Salaam wanaforums! Moja kwa moja kwenye maada,mwezi wa tisa mwaka 2023 nilipatwa na tukio ambalo halijawah kunitokea na nnahisi halitofutika maishani mwangu.Kwanza kabisa mimi ni mjasiriamali...
2 Reactions
10 Replies
677 Views
Back
Top Bottom