Makonda anazidi Kuipausha CCM kwa utoto

nashicha

JF-Expert Member
May 29, 2021
279
517
Niwaulize CCM kweli ni vizuri kumuweka mtu wa aina ya Balozi Emanuel Nchimbi mwenye ueledi wa juu na siasa za kistaarabu kufanya kazi Makonda? Mh Kinana kwanini hukumshauri Rais mkiona watu kwenye mikutano ya makonda ujue wanakwenda kumshangaa je ni kweli ni yeye??

CCM inakufa kifo cha kunywa sumu chenyewe wenye chama mlitakiwa mjini ulize Makonda ni faida au hasara? Maana Lema amemwita mtu asiye mstaarabu hivi huyu makonda pale CHADEMA anaweza kusimama na nani? SUGU AU HECHE AU MNYIKA AU MSIGWA CCM inazidi kupauka kuweni makini Makonda sio sahihi kwa chama kwa kipindi cha siasa za kistaarabu mtapigwa chini kwa kasi ya ajabu.
 
Makonda yupo hapo kwa kazi maalum ya kamati ya ufundi. Yeye anamletea kizmkazi waganga wa kumlinda na yale mauza uza kama yaliyotokea kule Moshi wakati fulani.
 
Sijui Mwenyekiti wetu aliona nini kwa Paul Makonda!!!

Mimi ni CCM lakini nasema wazi kabisa kuwa Makonda Hana brain, kariba na haiba ya kuwa Mwenezi wa CCM Taifa.

CCM ya Julius Nyerere leo inaenezwa na mtu mwenye tuhuma za mauaji!?!!!
Achilia kutuhumiwa na Tundu Lissu, Paul Makonda anatuhumiwa hadi na Marekani,Taifa lenye intelligencia ya hali ya juu duniani!!!

Makonda ni kiongozi asiyejua utawala wa sheria (rule of law), hajui mipaka yake ( anafanya kazi utra-vires) na hajui team work!

Paul Makonda anachojua ni kujipendekeza kwa Mwenyekiti (Rais Samia) na kukoga wapumbavu kuwa anatatua kero zao papo kwa hapo!

Si Kiongozi mnyenyekevu, Hana hekima ebu sikiliza hata maelezo yake ktk msiba wa Hayati Lowassa!

Wengi ndani ya CCM wanamvumilia tu kulinda ugali wao!

Kwa ujinga wake wa sheria amejifanya yeye ndiye Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mahakama,Bunge na Baraza la Madiwana!

Anakopita anadhihirisha Nchi hii haina mifumo ya Uongozi na kama ipo ilisha paralyze kitambo sana!

Mimi ni CCM lakini naona aibu sana kuwa na Kiongozi kama Paul Makonda!
 
Niwaulize CCM kweli ni vizuri kumuweka mtu wa aina ya Balozi Emanuel Nchimbi mwenye ueledi wa juu na siasa za kistaarabu kufanya kazi Makonda? Mh Kinana kwanini hukumshauri Rais mkiona watu kwenye mikutano ya makonda ujue wanakwenda kumshangaa je ni kweli ni yeye??

CCM inakufa kifo cha kunywa sumu chenyewe wenye chama mlitakiwa mjini ulize Makonda ni faida au hasara? Maana Lema amemwita mtu asiye mstaarabu hivi huyu makonda pale CHADEMA anaweza kusimama na nani? SUGU AU HECHE AU MNYIKA AU MSIGWA CCM inazidi kupauka kuweni makini Makonda sio sahihi kwa chama kwa kipindi cha siasa za kistaarabu mtapigwa chini kwa kasi ya ajabu.
Bila wahalifu CCM haifanikiwi.
 
Lucas mwashambwa huu uzi unakuhusu. Uje uandike ile risala yako ndefu ya kupingana na maoni ya mtoa mada.
Mheshimiwa Makonda mmoja ni sawa na kamati kuu nzima ya CHADEMA. Mheshimiwa Makonda mmoja amekata kiu ya mamilioni ya watanzania waliokuwa na kiu kubwa kama watu walio jangwani kutaka kusikilizwa kero zao na kupewa majibu.

Mheshimiwa Makonda mmoja ana uwezo wa kufanya mikutano mikubwa inayofurika na kumiminika watu wengi kama mchanga wa baharini kwa kutumia ulimi tu,wakati CHADEMA mpaka leo wamekimbia mitaani kwa visingizio vya kuwa wanataka helkopta utafikiri walizaliwa kwenye ndege,.

Mheshimiwa Makonda ndio tumaini la watanzania katika kuwasemea ,kuwatetea na kuwapigania.ndio maana anaaminika ,kukubalika na kupendwa sana na watanzania kutokana na uchapa kazi wake,ujasiri wake wa kuwasemea wananchi pamoja na uzalendo wake uliojaa katika kifua chake.

Ndio maana kwa sasa CCM ipo vinywani mwa Watanzania baada ya kuwa Mheshimiwa Makonda imeipeleka Mikononi mwao ili iwatumikie na kuwasikiliza kwa kila kitu kinachoitesa mioyo yao.ndio maana kwa sasa watanzania wakiona hata bendera ya CCM wanaona kama wameona nuru katikati ya giza
 
Kwa vile anakufokoa hadi unatoa mimaji ndiyo sifa zote hizi. Kweli wewe ni zero brain kama huyo bwana wako nyamitako mumekutana pipa na mfuniko.
 
Kwenye mikutano yake yote Makonda anajipigia promo huku akiwaponda watendaji wa serikali ya ccm.
 
Njoooooeni njoooooeni muone wapinzani wanajitekenya wenyewe alafu wanacheka 😅😅😅.

Huyo Nchimbi, HANA KILE AMBACHO WANANCHI WANATAKA .

Watu hawatakua usomi ,hawataki Sijui umezaliwa familia gan, umewah kua nani hapa Nchini.

Watu wanataka kuona Solutions ya matatizo Yao.

Endelea kumnanga Makonda, ila ndo Ivo, jamaa kaanza safari, na DOLA INAMUAMIN.
 
Mheshimiwa Makonda mmoja ni sawa na kamati kuu nzima ya CHADEMA. Mheshimiwa Makonda mmoja amekata kiu ya mamilioni ya watanzania waliokuwa na kiu kubwa kama watu walio jangwani kutaka kusikilizwa kero zao na kupewa majibu.

Mheshimiwa Makonda mmoja ana uwezo wa kufanya mikutano mikubwa inayofurika na kumiminika watu wengi kama mchanga wa baharini kwa kutumia ulimi tu,wakati CHADEMA mpaka leo wamekimbia mitaani kwa visingizio vya kuwa wanataka helkopta utafikiri walizaliwa kwenye ndege,.

Mheshimiwa Makonda ndio tumaini la watanzania katika kuwasemea ,kuwatetea na kuwapigania.ndio maana anaaminika ,kukubalika na kupendwa sana na watanzania kutokana na uchapa kazi wake,ujasiri wake wa kuwasemea wananchi pamoja na uzalendo wake uliojaa katika kifua chake.

Ndio maana kwa sasa CCM ipo vinywani mwa Watanzania baada ya kuwa Mheshimiwa Makonda imeipeleka Mikononi mwao ili iwatumikie na kuwasikiliza kwa kila kitu kinachoitesa mioyo yao.ndio maana kwa sasa watanzania wakiona hata bendera ya CCM wanaona kama wameona nuru katikati ya giza

Mheshimiwa Makonda mmoja ni sawa na kamati kuu nzima ya CHADEMA. Mheshimiwa Makonda mmoja amekata kiu ya mamilioni ya watanzania waliokuwa na kiu kubwa kama watu walio jangwani kutaka kusikilizwa kero zao na kupewa majibu.

Mheshimiwa Makonda mmoja ana uwezo wa kufanya mikutano mikubwa inayofurika na kumiminika watu wengi kama mchanga wa baharini kwa kutumia ulimi tu,wakati CHADEMA mpaka leo wamekimbia mitaani kwa visingizio vya kuwa wanataka helkopta utafikiri walizaliwa kwenye ndege,.

Mheshimiwa Makonda ndio tumaini la watanzania katika kuwasemea ,kuwatetea na kuwapigania.ndio maana anaaminika ,kukubalika na kupendwa sana na watanzania kutokana na uchapa kazi wake,ujasiri wake wa kuwasemea wananchi pamoja na uzalendo wake uliojaa katika kifua chake.

Ndio maana kwa sasa CCM ipo vinywani mwa Watanzania baada ya kuwa Mheshimiwa Makonda imeipeleka Mikononi mwao ili iwatumikie na kuwasikiliza kwa kila kitu kinachoitesa mioyo yao.ndio maana kwa sasa watanzania wakiona hata bendera ya CCM wanaona kama wameona nuru katikati ya giza
Hivi una uhakika kabisa kuwa we "zimo"?
 
Kumbe amekukata kiu!!!!!!hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom