Video: Ushujaa wa Hayati Magufuli kwenye umeme

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Kweri huyu alikua shujaa hii clip ya Magufuri akiuliza ishu ya umeme imenifanya nilie

Wapendwa hapa nalia muda huu Tanzania haitokuja kupata shujaa kama huyu

Huyu baba alikua anajua shida za watu wa chini alijua tunatesekaje baba huyu

Nimeangalia nikaangukwa na machozi kwanini Mungu ulimchukua Magufuri? Kwanini baba Mungu uliruhusu?

Leo wananchi wamebaki kama yatima hawana mtetezi

Hii video imenitonesha vidonda vilivyokua vimepona

Watanzania walisema wanataka wafunguliwe twitter na uhuru wa kutoa maoni, haya twitter imefunguliwa na mnaongea mnavyotaka mnataka nini tena?! umeme ni mambo ya anasa.
 
Kweri huyu alikua shujaa hii clip ya Magufuri akiuliza ishu ya umeme imenifanya nilie

Wapendwa hapa nalia muda huu Tanzania haitokuja kupata shujaa kama huyu

Huyu baba alikua anajua shida za watu wa chini alijua tunatesekaje baba huyu

Nimeangalia nikaangukwa na machozi kwanini Mungu ulimchukua Magufuri? Kwanini baba Mungu uliruhusu?

Leo wananchi wamebaki kama yatima hawana mtetezi

Hii video imenitonesha vidonda vilivyokua vimepona

View attachment 2905461
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Back
Top Bottom