Awamu ya sita tumeona rangi zote, sukari kilo Moja elfu tano mia tano

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
Kwa mara ya kwanza nimeona Marehemu anatukanwa kwenye awamu ya Sita,sijui kama utamaduni wa Mtanzania?

Sukari kilo 5,500
Nyama kilo 10,000
Mchele kilo 4,000
Unga kilo 2,800
Petroli lita 3,300

Umeme Giza kama enzi za Richmond,

Viongozi wananunua nyumba Palm Jumeirah Dubai na South Afrika.

Mama kasafiri nchi 50 kwa miaka mitatu,

DPW imepewa bandari Wananchi walivunja rekodi ya kulalamika kwa miezi tisa.
 
Mama anafanya kazi nzuri eti wanatka wamweke pia kwenye note
 
Dawa ni nyie kupunguza matumizi ya sukari tu,waachieni na masukari yao
Hilo genge la watu wachache wanao control mambo ya sukari,wataila wenyewe wao na familia zao

Ova
 
undercover nao wapo tu watu tunadufuliwa vizazi huku...😀
 
Kwa mara ya kwanza nimeona Marehemu anatukanwa kwenye awamu ya Sita,sijui kama utamaduni wa Mtanzania?

Sukari kilo 5,500
Nyama kilo 10,000
Mchele kilo 4,000
Unga kilo 2,800
Petroli lita 3,300

Umeme Giza kama enzi za Richmond,

Viongozi wananunua nyumba Palm Jumeirah Dubai na South Afrika.

Mama kasafiri nchi 50 kwa miaka mitatu,

DPW imepewa bandari Wananchi walivunja rekodi ya kulalamika kwa miezi tisa.
MHUUUUUUUU Kwa haya mimi napita tu
 
Kenya ilianza kupanda raia wakatishia kuinhia mtaani zikashushwa Meli za kutosha.

Tanzania Mkiambiwa tokeni barabarani hamtoki, Watawala sio wajinga wanajua fika wanatawala aina gani ya watu
 
Kwa mara ya kwanza nimeona Marehemu anatukanwa kwenye awamu ya Sita,sijui kama utamaduni wa Mtanzania?

Sukari kilo 5,500
Nyama kilo 10,000
Mchele kilo 4,000
Unga kilo 2,800
Petroli lita 3,300

Umeme Giza kama enzi za Richmond,

Viongozi wananunua nyumba Palm Jumeirah Dubai na South Afrika.

Mama kasafiri nchi 50 kwa miaka mitatu,

DPW imepewa bandari Wananchi walivunja rekodi ya kulalamika kwa miezi tisa.
NCHI YA UCHUMI WA KATI SUKARI INAPATIKANA KWA FOLENI
 
Kwa mara ya kwanza nimeona Marehemu anatukanwa kwenye awamu ya Sita,sijui kama utamaduni wa Mtanzania?

Sukari kilo 5,500
Nyama kilo 10,000
Mchele kilo 4,000
Unga kilo 2,800
Petroli lita 3,300

Umeme Giza kama enzi za Richmond,

Viongozi wananunua nyumba Palm Jumeirah Dubai na South Afrika.

Mama kasafiri nchi 50 kwa miaka mitatu,

DPW imepewa bandari Wananchi walivunja rekodi ya kulalamika kwa miezi tisa.
Hapo ndio utakapojua kwa nn wanamsifia pamoja na kwamba maisha ya watu ni magumu kwelikweli,Siku zote wenye nacho tena ni wachache wana lugha yao na kwao hata sukari ikiuzwa Tshs 10000/=hakuna shida pesa ya kuchota wanayo kazi wanayo maskini ambao ndio wengi na ndio wanaoisifu CCM na huwezi kuwaelewa ukiwa na akili timamu.
 
Back
Top Bottom